Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
19 Apr

SIKU ALIZOTOA RC MAKONDA JUU YA OMBAOMBA DAR ZIMETIMIA, JE AGIZO LAKE LIMETEKELEZWA? SOMA HABARI HIYO HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Kamanda Sirro ameyasema haya"Ombaomba wengi wameanza kuondoka lakini sisi kama Jeshi na Idara zingine leo hatukuanza rasmi kwasababu unapowakamata hawa ndugu zetu lazima ujue namna ya kuwasafirisha na ni operesheni inayohusu idara nyingi, kimsingi vijana wangu wamepita maeneo mbalimbali wameona wengi wameondoka, wasije wakafikiri ni nguvu za soda, tunapanga mpango mkakati mzuri kwa wale wachache ambao watakuwa wamebaki".

STARZTZ

SIKU ALIZOTOA RC MAKONDA JUU YA OMBAOMBA DAR ZIMETIMIA, JE AGIZO LAKE LIMETEKELEZWA? SOMA HABARI HIYO HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974