Top posts
-
FC BAYER MUNICH BYE BYE LIGI YA MABINGWA...
Mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa Ulaya kati klabu ya FC Bayern Munich dhidi ya Atletico Madrid umechezwa usiku wa Mai 3, 2016 katika Uwanja wa Alianz Ujerumani, Atletico Madrid wakiwa wanaingia katika mchezo huo wakiwa na Kumbukumbuya ushindi wa...
-
Video: SERIKALI YAFUNGIA WIMBO WA SNURA ‘CHURA’
Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo leo imetangaza kuufungia wimbo wa Snura, Chura kuchezwa kwenye redio na TV. Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano wa Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Zawadi Msalla akiongea na waandishi wa habari Taarifa...
-
ASHA MGIRO ATEULIWA NA RAIS MAGUFULI KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI..
Hii ni Barua inayozibitisha uteuzi wa Asha Rosse Migiro[..]
-
JOYCE KIRIA AMLILIA RAIS MSTAAFU KIKWETE, AMWANDIKIA UJUMBE HUU MZITO...
Soma alafu uache coment yako ili akipita ajuae unamaoni gani juu ya Ujumbe wake huo
-
LIVERPOOL YAINGIA FAINALI EUROPA LEAGUE.
Jurgen Klopp amefanikiwa kuifikisha Liverpool katika hatua ya fainali ya ligi ya Uropa baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Villarreal. Wakiwa nyuma kwa bao moja katika mchezo wa awali, Liverpool walisawazisha matokeo baada ya Bruno Soriano...
-
WANASAYANSI WAGUNDUA NGOZI YA KUZIBA UZEE.
Wanasayansi wanadai kuunda aina ya ngozi inayoweza kubandikwa juu ya mwili wa mtu kupunguza muonekano wa mikunjo ya ngozi mwilini na ngozi inayopwaya chini ya macho kutokana na uzee. Ni aina ya maji maji mtu anayopaka mwilini alafu inaachwa kukauka ambapo...
-
VIDEO: HIVI NDIVYO MAMIA YA WAKAZI WA JIJI LA MBEYA WALIVYOJITOKEZA KUMZIKA MSANII KINYAMBE...
Mamia ya wakazi wa jiji la Mbeya wamemzika aliyekuwa Msanii wa Vichekesho James Petro Nsemwa (30) Maarufu kama Kinyambe ambaye alifariki Dunia Jumatano ya Wiki hii Mkoani Mbeya, katika Makaburi ya Hayombe Uyole Igawilo Mkoani Meya.
-
HAYA NI MANEO YANAYOSEMWA JUU YA HUYU MREMBO...
Huko Ulaya imesemekana kwamba huyu ndiye Mrembo anayesumbua vichwa vya wengi!!
-
IRENE UWOYA ATOA UJUMBE HUU MZITO KWA RC MAKONDA...
Usafi nikipimo cha ustarabu... hakuna kitu kizuri kama kuwa Mstarabu usijifanye mstarabu ... hongera sana Mh. Paul Makonda na Mungu akutangulie kwa kila jambo.
-
PAPA FRANCIS AKUTANA NA WAISILAMU MISRI.
Papa Francis akikutana na kiongozi mkuu wa chuo kikuu cha kiislamu nchni Misri Al-Azhar Kiongozi mmoja wa kidini nchini Misri amefanya mazungumzo na Papa Francis ,ikiwa ni ishara za hivi karibuni za kutaka kuimarisha uhusiano kati ya dini hizi mbili kubwa...
-
CHINA YAKANA KUUZA NYAMA BINADAMU AFRICA.
Nyama Wizara ya maswala ya kigeni nchini China imekana ripoti kwamba kampuni za chakula nchini humo zinaweka nyama ya binaadamu na kuuza barani Afrika kama nyama ya ng'ombe. Chombo cha habari nchini humo Xhinua kimesema kuwa jarida moja nchini Zambia...
-
YANGA NA AZAM KUVAANA KESHO.
Timu za Azam na Yanga vitashuka katika dimba la taifa Dar es salaam hapo kesho katika mchezo wa fainali. Mchezo huu ni wa fainali ya michuano ya kombe la shirikisho ambapo timu hizi mbili zitakuwa zikiwania kikombe na nafasi ya kuiwakilisha nchi katika...
-
RAIS WA UTURUKI AWATAKA WAISILAMU KUTOPANGA UZAZI.
Rais Recep Tayip Erdogan Rais wa Uturuki Reccep Tayyip Erdogan amewataka Waislamu kukataa kutumia vifaa vya upangaji uzazi kwa lengo la kupata watoto wengi. Katika taarifa iliorushwa hewani kupitia runinga za taifa hilo,bw Erdogan amesema kuwa hakuna...
-
WANAFUNZI WAHUKUMIWA BURUNDI.
Polisi nchini Burundi inawashikilia kundi kubwa la wanafunzi wa sekondari kwa kosa la kuharibu picha ya rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza. Vijana hao wanakabiliwa na kosa la kumtukana kiongozi wa nchi, kosa ambalo adhabu yake ni kifungo cha miaka mpaka...
-
MATER J ATANGAZA RASMI KURUDI KWENYE GAME...
Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Master J ametangaza habari njema ya kurudi kwenye kutayarisha waimbaji wa Muziki baada ya kupumzika kwa miaka kadhaa.
-
HAKUNA USIRI TENA SASA, MREMBO CHYNA ADHIBITISHA UJAUZITO WAKE...
Ni baada ya yeye kupost picha zikionyesha ujauzito wake, pita alafu tupia comment aone una maoni gani juu yake.
-
RAPA NEY WA MITEGO AZIDI KUWASHUKIA HEWANI BONGO MOVI...
Staa wa Bongo fleva Ney wa Mitengo bado anaendelea kuwapa makavu live wasanii wa bongo movi hasa wakwaluaji wanaosubili vijana wa Bongo fleva wawe juu ndipo watoke nao kimapenzi.
-
Usain Bolt kuchuana na Adam Gemili
Bingwa mara mbili wa Olimpiki wa riadha Usain Bolt amethibitisha kwamba yeye atashiriki katika michezo ya maadhimisho mjini London umbali wa Mita 200 hapo Julai 22 . Raia huyo wa Jamaica mwenye miaka 29 ambaye ana rekodi ya dunia ya kukimbia mita 200...
-
MSANII MWASITI KUACHIA NGOMA YAKE MPYA NA CHID BENZ...
Msanii Mwasiti Almas amesema Chidi Benz ni msanii anayempenda na kumuheshimu sana kwani kwani amemsaidia kwa kiasi kikubwa mpaka alipofikia hapo.
-
NEY WA MITEGO AUMBULIWA LAIVU NA MREMBO SIWEMA...
Emmanuel Elibariki alimaarufu ama Ney wa Mitego yamemkuta makubwa baada ya mzazi mwenzie kutoka jera alikokuwa akitumikia kifungo, baada ya kurudi kutumikia kifungo cha nje amemchana makavu Ney aliyekuwa akidai kwamba alikuwa anapambana kumsaidia.
-
HUU NDIO MWONEKANO WA DIAMOND KATIKA MAANDALIZI MBALIMBALI...
Je uliwahi kuiona? tupia comment mtu wangu nione ni wangapi wajanja...
-
URENO YATINGA NUSU FAINAL YA EURO 2016 KWA MKWAJU YA PENART...
Baada ya kusimama taklibani siku mbili kwaajili ya mapumziko ya mechi za Euro 2016, usiku wa June 30,2016 ulichezwa mchezo wa kwanza wa robo Fainali ya michuano hiyo ya Euro 2016, Mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Euro 2016 ulikuwa poland na Ureno.
-
NA HIVI NDIVO ILIVOKUWA JANA KATIKA FAINAL YA EURO...
Hii ni baada ya ufaransa kukubali kulala kwa piga la bao moja la dakika ya 90. Mchezo huu kwa kipindi cha kwanza ulionekana kuegemea upande mmoja ambapo timu ya Ufaransa ilionekana kuwa na Makali zaidi ya Portugal baadaye katika kipindi cha pili mambo...
-
MAMA AKE RONALDO AANDIKA UJUMBE HUU BAADA YA KUMUONA MWANAE ANALIA...
Hii imetokea usiku wa July 10, 2016 katika Mchezo wa fainal ya Euro 2016 na kushuhuda timu ya Taifa ya Ureno ikitwaa ubigwa huo kwa kuifunga Timu ya Taifa ya Ufaransa goli 1 huku Ufaransa wakitoka bila kitu.
-
"TIBU VIDONDA VYA TUMBO SASA"WASILIANA NASI KWA 0714260485,0759110974...
Je umesumbuka na vidonda vya tumbo kwa mda mrefu?? ondoa shaka kwani tiba yake hii hapa wasiliana nasi kwa Namba 0714260485 au 0759110974. KALIBU