Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

vijimambo

VIDEO: HIVI NDIVYO HARMORAPA ALIVYO ONYESHANA MAHABA LIVE NA AMBER LULU....

Naendelea kukusogezea zile habari kubwa kutoka katika Tasnia nzima ya Bongo fleva. Na hii kwa mala nyingine kutoka kwa Harmorapa akiwa na Amber lulu Maisha Basement. Usiku wakuamkia leo kwa fans wa Harmorapa na Amber Lulu ambao walikuwepo pale Maisha...

Read more

VIDEO: HARMORAPA AYAZUNGUMZA HAYA JUU YA MWANAMKE ANAYETAMANI KUWA NAYE KIMAPENZI..

Kama kawaida yangu mpenzi msomaji wa makala zangu kutoka kwenye Blog uipendayo ya STARZTZ, le nakusogezea hii video ya Msanii chipukizi Harmorapa akiyazungumza haya juu ya uwezo wake wa kumiliki Wema Sepetu. Ni March 28, 2017 ambapo msanii wa Bongo Fleva,...

Read more

VIDEO: HARMORAPA AYAZUNGUMZA HAYA BAADA YA KURUSHIWA CHUPA AKIWA STAGENI.....

Baada ya msanii Harmorapa kutupiwa chupa kwenye stage April 2 2017 na shabiki wakati akifanya show, leo April 3 2017 Ayo TV Entertaiment imemtafuta Harmorapa na Kupiga naye stori jinsi ilivyokuwa. ‘J ana kweli nilikuwa na show ambapo nilipigwa na chupa...

Read more

VIDEO: LINAH AYAZUNGUMZA HAYA JUU YA UJAUZITO WAKE WA SASA....

Kama kawaida yangu mtu wangu kukusogezea zile habari muhimu zinazoendelea kutufikia katika Studio zetu za STARZTZ, leo nimekusogezea hii ya Linah Sanga mwanamuziki wa bongo fleva akizungumzia kuhusu mimba yake ya sasa. LML - Love Melodies and Lights ni...

Read more

LINAH AWEKA WAZI JUU YA MIMBA ALIZOKWISHO KUTOA, SOMA NA ACHA KOMENTI MTU WANGU...

March 31 2017 kupitia kipindi cha The weekend chat show Msanii wa Bongo fleva Linah Sanga amekiri alishawahi kutoa mimba takribani mbili kabla ya hii aliyonayo sasa hivi na anategemea kujifungua hivi karibu. Linah amesema anajutia hilo na sababu iliyompelekea...

Read more

VIDEO: KUMBE SABABU ZA ZARI KUZAA MFULULIZO NA DIAMOND KACHANGIA.....

Kama kawaida yangu mtu wangu wa nguvu naendelea kukusogezea zile habari zinazoendelea kutufikia hapa studiion kwetu. Usisite kushere na kunifollow katika page yangu ya Instagram kama Chuyan'g Custarah pamoja na Facebok jina hilohilo!!! Uploaded by nafiaafrica...

Read more

HARMORAPA AAMBULIA BURUNGUTU LA MATUSI BAADA YA KUNUNUA KESI YA DIAMOND NA ALIKIBA...

Dogo Harmorapa ainunua bifu ya Diamond na Alikiba, achezea mvua ya matusiHarmorapa ni kama amemwaga petrol kwenye moto wa gesi. Rapper huyo aliyeteka vichwa vya habari kwa sasa nchini ameonekana kuanza kuununua ugomvi wa Diamond na Alikiba.Harmo kupitia...

Read more

VIDEO: KAMA ULIIKOSA HII YA HUYU JAMAA NA DADA YAKE WALIOOANA NA KUZAA WATOTO WAWILI HII HAPA MTU WANGU...

Ilikuwa ni March 14 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Mtangazaji Geah Habib ameileta hekaheka kutoka Dar es Salaam ambayo inawahusu ndugu wawili; mtoto wa mama mkubwa na mtoto wa mama mdogo ambao wako katika mahusiano ya kimapenzi na tayari wamezaa...

Read more

MWANAUME MKALI AYAJIBU HAYA BAADA YA KUDAIWA KUSABABISHA WEMA SEPETU KUPOST PICHA AKITOA MACHOZI

Leo March 13 2017 kwenye XXL ya Clouds FM, Soudy Brown ameileta U heard inayomhusu Miss Tanzania 2016 Wema Sepetu ambapo inasemekana yupo katika majonzi kufuatia kuvurugana na anayedaiwa kuwa mpenzi wake anayeitwa Kibadube, inadaiwa alimtambulisha hadi...

Read more
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 20 30 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974