Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
20 Apr

AZAM FC WAMESHINDWA KUENDELEA NA MICHUANO YA CAF BAADA YA KIPIGO HIKI..

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

April 19 , 2016 wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Kombe la shirikisho Barani Afrika (CAF) klabu ya Azam FC ilishuka Mjini Rades Tunisia kucheza mchezo wake wa Marudiano wa Kombe la shirikisho Barani Afrika dhidi ya Klabu ya Esperence ya Tunisia. Azam Fc katika Mchezo wa kwanza uliochezwa Chamazi Dar es salaam waliibuka na ushindi wa goli 2-1, sasa wamekubali kichapo cha goli 3-0.

STARZTZ

AZAM FC WAMESHINDWA KUENDELEA NA MICHUANO YA CAF BAADA YA KIPIGO HIKI..
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974