Top posts
-
LUCY KIBAKI AFARIKI DUNIA.
Aliyekuwa mke wa rais wa zamani nchini Kenya Lucy Kibaki amefariki. Lucy alifariki katika hospitali ya Bupa Cromwell mjini London. Alisafrishwa hadi mjini Landon wiki moja iliopita kwa matibabu.Akithibitisha kifo chake rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema...
-
VIDEO MPYA: SNURA AMEKUJA NA NGOMA MPYA ICHEKI HAPA..
Snura anatualika kuitazama video yake mpya inayoenda kwa jina la 'Chura'
-
MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO APRIL 28, 2016
Nikianza kwa kukusogezea post za habari zilizo jitokeza katika Magazeti ya Tanzania na kuanza na Gazeti la SOKA lina habari inayosema "Hakuna kulala Msimbazi", Gazeti la BINGWA lina habari inayosema "Yanga hii!!! mtanyamaza tu", Gazeti la MWANA SPOTI...
-
ATLETICO MADRID WAMEIBUKA NA USHINDI DHIDI YA FC BAYERN MUNICH
Huu ulikuwa ni mchezo mkali uliochezwa katika uwanja wa Calderon. Atletico Madrid walijikuta kuibuka washindi wa mchezo huo wa nusu fainali ya klabu bingwa Ulaya baada ya kumalizika kwa sare ya o-o jumatano ya April 27, 2016.
-
HII NDIYO SABABU INAYOKUFANYA USILALE KWA RAHA SEHEMU AMBAYO UJAIZOEA...
Je ulishawahi kugundua kuwa ukilala katika kitanda au mazingira mapya haupati usingizi wa kutosha? sasa basi , utafiti ulibaini kuwa mtu akilala katika mazingira mapya ubongo wake haulali wote!!!! upande wa kushoto wa Ubongo huwa uko chonjo dhidi ya hatari...
-
ESCROW MPYA. SOMA HAPA KUPATA HABARI HIYO KAMILI...
Kutoka Bungeni Dodoma Mkutano wa Bunge umeendelea tena leo April 28, 2016 ambapo Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amewasilisha Bungeni ripoti mpya ya tuhuma za IPTL, Tegeta Escrow pamoja na Standard Bank ya Uingereza. Katika mambo ambayo Zitto ameyazungumzia...
-
MADAKTARI WA UPASUAJI WA WATOTO WENYE VICHWA VIKUBWA WATIA KAMBI MWANZA...
Jopo la Madaktari Bingwa kutoka taasisi ya Mifupa na mishipa ya Fahamu (MOI) iliyopo Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam wametia kambi Mwanza kwaajili ya Upasuaji wa watoto wenye matatizo ya Vichwa vikubwa na Mgongo wazi huduma ambayo itatolewa...
-
AYA WALE WATU WA TIMU HARMONIZE VIDEO HII HAPA...
Kama uliikosa video ya Harmonize akifanya show Dodoma na Mwanza nimekusogezea video yake hapa[...]
-
KWA NAFASI YA KIPEKEE, ONGEA NENO MOJA LA KUMPONGEZA MHE. RAIS MAGUFULI..
Kwa wale wapenda Maendeleo watakuwa na mazuri ya kuongea na kupongeza juu ya utendaji kazi wa Mhe. Dk John Pombe Magufuli Magufuli. acha coment yako hapa chini ajue unamuunga mkono!!
-
MWANA DADA AWANYIMA USINGIZI AKINA WEMA, KAJALA, WOLPER,....
Mwana dada huyu ameonekana kuwanyima usingizi akina Wema, Kajala, Wolper na Uwoya huko Bongo movies kwwa kuwa na figa matata.
-
TAKRIBANI 250 WAUAWA ALLEPO, SYRIA; MAREKANI YATAKA KUSITISHA MASHAMBURIZI..
Marekani imeyataka Majeshi ya Utawala wa Rais wa Syria Bashar Al Assad kusitisha mashambulizi ya anga katika mji wa Aleppo ili kuanza tena kwa usitishaji wa mapigano Nchini kote Syria.
-
CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA BUNGE KUPATA MWENYEKITI MPYA...
Katibu wa Chama cha wafanyakazi wa Serikali kuu na Afya (TUGHE) Mkoa wa Dodoma Bw. Nchenya John akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge (hawapo pichani) kabla ya uchaguzi wa Vingozi wa TUGHE Tawi la Bunge uliofanyika mapema wiki hii Mkoani Dodod...
-
MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO MAY 2, 2016..
Nikianza kwa kukusogezea posti za habari mbalimbali zilizojitokeza katika Magazeti ya Tanzania nikianza na Gazeti la MWANA SPOTI lina habari inayosema "Unasonya? ukicheza na Yanga marufuku kushangilia", Gazeti la CHAMPIONI lina habari inanayosema "Hans...
-
MAHAKAMA YA KISUTU IMETOA HATI YA KUKAMATWA KWA MEYA WA KONONDONI, KISA?? SOMA HAPA...
Mei 2, 2016 Mahakama ya Mkazi Kisutu ametoa maamuzi ambayo yameingia kwenye headlines, baada ya kuamua kutoa hati ya kutaka Mikono ya sheria imkamate Meya wa Kinondoni Boniface Jacob kutokana na kushindwa kufika Mahakamani kwa kwa tuhuma za kosa la kumpiga...
-
WABUNGE WANAOWAKILISHA BUNGE LA TANZANIA WALA KIAPO CHA UAMINIFU NCHINI AFRIKA KUSINI...
Wabunge wa Tanzania wanao wakilisha Bunge la Tanzania kwenye Bunge la Afrika (Pan African Parliament) wakila kiapo cha uaminifu leo Mjini Midrad Afrika Kusini.
-
RIYAMA AYASEMA HAYA MENGI 'SIWEZI KUMSAMEHE KAJALA'..
Mwigizaji mahili katika tasnia ya Filamu Bongo Riyama Ali ametoa malalamishi kwa madalali wa kazi za wasanii kwa kuwa chanzo zha dhuluma kwa wasanii wanaotengeneza filamu huku wao wakijinuaisha jasho lao akiongea na FC Riyama amedai ametapeliwa kazi...
-
ANNA TIBAIJUKA: WANAONIITA MWIZI WATAISOMA NAMBA...
Mbunge wa mukeba kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka jana alikuwa mkali Bungeni akisema yeye si mwizi na kuwabeza wanaomuita hivyo kuwa wataisoma namba.
-
NICKI MINAJI AMZAWADIA MEEK MILL SAA YA GOLD SIKU YA BIRTHDAY YAKE...
Meek Mill na Nicki Minaji wanazidi kuthibisha kuwa wao ni Power Couple baada ya kuonekana pamoja wakiwa na raha kwenye siku ya kuzaliwa ya Meek Mil.
-
HUWEZI KUAMINI YATIMA MASKINI AKATAA KUASILIWA NA KIM KARDASHIAN!!!...
Mtoto aliyekuwa akiishi katika mazingira ya umaskini katika Nyumba ya kulea watoto yatima Nchini Thailand amefanya uamuzi wa kushangaza alipokataa ombi la Nyota maarufu Duniani Kim Kardashian kumuasili kuwa sehemu ya familia yake.
-
MAMA WA SUPER STAA SNURA AANGUKA GHAFLA BAADA YA CHURA KUFUNGIWA...
Ikiwa wabongo wamecharuka mtandaoni wakiuzungumzia wimbo wa chura kwa namna mbalimbali wimbo wa Chura, kuna habari ya kuhuzunisha kuwa mama mzazi wa msanii huyo, Doto Sanzegara alijikuta akianguka kwa mshutuko baada ya Serikali kutangaza kumzuia mwanaye...
-
MTOTO WA NYOKA NI NYOKA, TAZAMA HUYU NI MTOTO WA VAN DAMME AKIWA...
Akiwa katika mazoezi yake huyu ni mtoto wa Van Damme mwenye jina la Bianca.
-
RAPA KIMBUNGA AMTUPIA VIJEMBE VIKALI NAY WA MITEGO...
Rapa huyu amesema kuwa Nay wa Mitego hajui Muziki na wala hajui gumzo za Hip hop.
-
LULU AANIKA SIRI YA KUTEMBEA NA WANAUME WALIOMZIDI UMRI ASEMA...
Kunako Sinema za kibongo funguka mahabati, Elizabeth Michael 'Lulu' amefunguka akisema anapenda kuwa na wanaume awanaomzidi umri kwasababu tatu, alisema napenda kuwa na wanaume wanaonizidi umri kwasababu "wanakuwa kama kaka, baba na mpenzi" aendelea kwa...
-
MREMBO SHILOLE AYASEMA HAYA JUU YA UONGEAJI WA KIINGEREZA...
Msanii wa Bongo freva Shilole a.k.a Shishi baby amesema kuoingeea Kiingereza ni kipaji amesema 'mimi najua kuongea kiingereza vizuri sana ila napenda kuongea kiingereza kibovu kwaajili ya kuchekesha watu tu.'
-
HII NDIYO SABABU YA TYGA KUACHANA NA MPENZI WAKE KYLIE JENNER...
Rapper Tyga na mpenzi wake Kylie Jenner wameachana kwa mala nyingine tena. Hata hivyo kwa mujibu wa TMZ wamesema yawezekana ndo mapenzi hayo ndo bye bye!!!