Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
20 Apr

CRISTIAN RONALDO ANAHAMIA PSG?? FUNGUA HAPA USOME NINI KIMESEMWA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Ronaldo ni staa wa soka wa Kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid na kutaka kujiunga na timu ya Paris Saint German ya Ufaransa. Awali Ronaldo aliwahi kuhusishwa kutaka kujiunga na PSG ila leo April 19, 2016 stori kutoka 101great goals.com wameripoti kuwa Cristian Ronaldo amewahi kukutana na Rais wa PSG Nasser Al-Khrlaifi mala tano, stori zilieleza kuwa Jose Mourinho huenda akajiunga na PSG pamoja na Ronaldo msimu ujao.

STARZTZ

CRISTIAN RONALDO ANAHAMIA PSG?? FUNGUA HAPA USOME NINI KIMESEMWA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974