Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MSIBA UBELGIJI DHIDI YA MILIPUKO MIWILI UWANJA WA NDEGE. PATA HABARI KAMILI KAMILI HAPA

Katika Vyombo vya habari vya Kimataifa, habari inayo make headline sasa hivi ni taarifa ya Milipuko iliyotokea Uwanja wa Ndege wa Brussels na Kituo cha Treni cha Metro Nchini Ubelgiji.

Read more

MHE. ZITTO KABWE AJING'ATUA UJUMBE. NIMEKUANDALIA HABARI KAMILI HAPA..

Ni Mbunge wa Kigoma aandika kwenye Ukurasa wake wa Facebook akisema "kuna tuhuma za rushwa dhidi ya kamati mbalimbali za Bunge ikiwemo kamati ninayohudumu. Nimemwandikia Spika kuomba Uchunguzi juu ya tuhuma hizo na na kwamba achukue hatua kali dhidi ya...

Read more

TUONE KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI LEO HAPA

Leo Magazeti yametuandalia habari mbalimbali ikiwemo, Gazeti la Majira kuandika Vita ya Madaraka. Na katika Gazeti la Uhuru limeandika ZEC yaibua Mazito.

Read more

MAANDAMANO YA FURAHA ZANZIBAR BAADA YA USHINDI WA DKT SHEIN. NIMEKULETEA HABARI KAMILI HAPA

Hawa ni wananchi wakiwa wameandamana katika maeneo mbalimbali ya Mji huo kwa furaha baada ya kutangazwa mshindi Rais Shein katika uchaguzi wa marudio ulofanyika March 20, 2016.

Read more

STARS YAENDELEA KUJIIMALISHA DHIDI YA CHAD. PATA HABARI KAMILI HAPA

Timu ya Taifa Stars ya Tanzania inayodhaminiwa na na bia ya Kilimanjaro Premium lager , Imeendelea kufanya Mazoezi kujiimalisha dhidi ya Mchezo wao dhidi ya wenyeji Chad siku ya Juma Jumatano katika uwanja wa Omnisports Idris Mahamat Ouyu uliopo katika...

Read more

TRL KUSITISHA SAFARI ZAKE KUANZIA DAR ES SALAAM. PATA HABARI KAMILI HAPA..

Mamlaka ya Reli Nchini (TRL) imesitisha safari zake kutoka Dar es salaam kwenda Mikoani na kuhamisha hudumma hiyo mkoani Dodoma kutokana na Miundo mbinu ya Reli kuharibiwa na Mvua za Masika zinazoendelea kunyesha hapa Nchini.

Read more

MAJIPU MENGINE MATATU YATUMBULIWA KINONDONI. BOFYA HAPA KUPATA HABARI KAMILI

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa (LAAC) imeitaka Wizara ya Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TANISEMI) kuwasimamisha kazi watumishi watatu wa Manispaa ya kinondoni jijini Dar es salaam, ikiwemo Mwanasheria wa Manispaa hiyo, Barton Mahenge...

Read more

RAIS MAGUFULI KUTII AGIZO LA MAKONDA. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Rais John Pombe Magufuli amekuwa mtu wa kwanza kutekeleza agizo la mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda la kuhakiki silaha baada ya Bunduki zake aina ya Shot Gun na Bastola kuhakikiwa nyumbani kwake Ikulu, Dar es salaam

Read more

6 WAFA KATIKA MSAFARA WA KAMATI YA BUNGE. Ingia upate habari kamili..

Watu 6 wamefariki Duniakatika Msafara wa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Suleiman Jaffo na kamati ya Bunge ya kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa kupata Ajali Wilayani Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani.

Read more

SHEIN AIZIKA CUFU ZANZIBAR. PATA HABARI KAMILI HAPA

Mgombea Urais wa CCM visiwani Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ametangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kuwa mshindi kwa kupata kura 299,982 sawa na asilimia 91.4.

Read more
<< < 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974