Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

BABA WA KIPA WA TIMU YA SIMBA KULALAMIKA KUHUSU KIPAJI CHA MWANAE KUSHUKA

Baba mzazi wa Gori kipa wa timu ya Simba Peter Manyika amkoromea mwanae akidai kuwa kipaji chake kimepungua kwasababu ya Mapenzi.

Read more

KANYE WEST ALIOMBA KUPIGA PICHA VIATU VYA DIAMOND

Diamond alidai wakati yupo Airport Los Angeles akisubili mabegi yake mala gafra alikuja mtu na kumuomba apige picha viatu vyake, Diamond akadai hakuna tatizo baadae alipomwangalia vizuri ndo akagundua kuwa ni Kanye West.

Read more

RAIS MAGUFULI KUVUTIWA NA KIPINDI CHA CLOUDS 360 NA KUWALUKIA HEWANI!!!!

Katika habali kuubwa za kupendeza zilizonifikia leo ni pale Rais John Pombe Magufuli kupendezwa na kipindi cha 360 mpaka akaamua apige simu studio.Wakati huo Rais Magufuli alikuwa na mkewe ambapo walisisitiza kufurahishwa na utendaji kazi wao.

Read more

RWAKATARE AANZA KUTEKELEZA AHADI MJINI BUKOBA

Mbunge wa jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, ameanza kutimiza ahadi zake alizoahidi wakati wa kipindi cha kampeini.

Read more

DAKTARI ALIYETUHUMIWA KUCHANGIA KIFO AJIFUNGA

Daktari wa Zahanati ya Kapalamsenga mwambao waZiwa Tanganyika Wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi Rehema Munga anayetuhumiwa na wakazi wa kijiji hicho kusababisha kifo cha Bibiana Kilangi (49) kwa kugoma kumhudumia amejifunga salama.

Read more

BILIONI 18.77/- ZIMEPELEKWA ELIMU BULE MPAKA SASA

Serikali imeshatoa Sh. bilioni 18.77 hadi sasa katika kufanikisha mpango wa Elimu bure. aidha Imesema itaendelea kujipanga kuwaondolea mzigowa gharama za Elimu na kusisitiza Watanzania kupeleka watoto shule.

Read more
<< < 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974