Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

BAROZI JUMA MWAPACHU ALUDI CCM

Balozi Juma Mwapachu akikabithiwa kadi ya CCM kata ya Mikocheni. Amedai sababu iliyomfanya yeye kuludi chamani ni baada ya kulidhishwa na kupendezwa na utendaji kazi wake kwa sasa.

Read more

RAIS DKT. JOHN MAGUFURI AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA KITUO CHA KI=UFUA UMEME CHA KINYEREZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akagua na kuweka jiwe la Msingi katika ujenzi wa kituo cha kufua Umeme cha Kinyerezi jijini Dar es salaam.

Read more

JAJI MKUU WA ZANZIBAR OMARY OTHMAN AFUNGUKA KUHUSU UCHAGUZI ZANZIBAR

Ikiwa zimebaki siku 3 kufika uchaguzi wa marudio Zanzibar,Jaji mkuu wa Zanzibar Othman amefunguka na kueleza "sisi kama mahakama ya Zanzibar tupo vizuri kiukweli katika kazi yoyote ile hakukosi changa moto".

Read more

MWIGIZAJI NISHA ATOA SABABU ZINAZO MPELEKA CHINA MALA KWA MALA

Mwigizaji Nisha ameingia kwenye headlines baada ya kusafili mala kwa mala kwenda China. Afunguka na kusema kinachompeleka China mala kwa mala ni kazi zake za kibiashara, alidai yeye ni mfanya biashara wa Nguo,Viatu,Nywere n.k. Hiyo imetokea baada ya mashabiki...

Read more

MFUNGWA MTANZANIA AONGEA KWA SIMU KUTOKA CHINA

Amplifaya ya Crouds FM ilipata nafasi ya kuzungumza kwa simu na mfungwa Mtanzania, aliyefungwa Gereza moja la Jack Clif, Jamaa huyo ambae jina lake limehifadhiwa amekuwa Gerezani hapo toka mwaka 2007 kwa kosa la kukamatwa na dawa za Kulevya.

Read more

PICHANI AKIAPISHWA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO

Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuaisha Said Meck kuwa mkuu wa mkoa wa Kilianjaro jana Ikulu jijini Dar es salaam.

Read more

SUTI ZA AZAM ZAZUA JAMBO YANGA

Kwa kile kinachoonekana mashabiki wa Yanga wana kiu ya Mafanikio ndani na nje ya Uwanja. Kulingana na hayo juzi waliwataka wachezaji wao kuvaa suti pindi waendapo kushiriki mashindano ya Kimataifa!!

Read more

DIAMOND PLATNUMZ AMTAMBULISHA MSANII MPYA KUTOKA WCB

Baada ya label ya WCB kumsaini mkali wa hit single ya Bado 'Harmonize' na kuendelea kufanya vizur katika soko la muziki wa Tanzania.Diamond Platnumz ambaye ni msimamizi wa label hiyo alisema kumsajili msanii mpya walie msaini katika label yao.

Read more

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKIMUAPISHA MKUU WA MKOA WA KAGERA

Rais Jamhuli ya Muungano wa Tanzania dk John Pombe Magufuli akimuapisha Salum Mustafa Kijuu kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera katika Hafra ya kuwaapisha wakuu wa mikoa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam jana.

Read more

WAZIRI MKUU AKIMPA POLE PROFESA TIBAIJUKA KWA KUFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

Waziri mkuu Kasssim Majaliwa akipewa kahawa zilizo kaangwa maarufu kama 'akamwani' ikiwa ni mapokezi ya kimila ya wahaya wakati alipokwenda nyumbani kwa waziri wa zamaniwa Ardhi Profesa Tibaijukamjini Mlebakutoa pole kufuatia msiba wa mama yake mzazi...

Read more
<< < 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974