Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

MBUMGE WA KIGAMBONI JUU KWA JUU..

Mbunge wa Kigamboni Dk Faustine Ndungulile amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kamati ya ushauri ya masuala ya Ukimwi, Afya ya mma na watoto ya Taasisi ya Wabunge Duniani (IPU). Dk Ndungulile amechaguliwa katika mkutano wa 134 wa Mabunge Duniani unaoendelea...

Read more

WATU 1000 KUVAMIA MASHAMBA..

Watu wapatao 1000 kutoka katika Lemonti, wakiwa na siraha za jadi wamevamia mashamba manane yanayomilikiwa na wawekezaji.Wamefanya hivyo kushinikiza Serikali ifute hati za umiliki wao.

Read more

RAIS DKT. ALI MOHAMED SHEIN KATIKA FOLENI KUSUBILI KUPIGA KURA

Viongozi mbalimbali wajitokeza kutumia nafasi hiyo akiwemo Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein,Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu na wengine wengi

Read more

UZINDUZI WA MISS TANZANIA 2016 WAFANYIKA..

Jana siku ya tarehe 19 Umefanyika uzinduzi wa Kumtafuta mrembo wa Miss Tanzania 2016. Pichani ni Washiriki wa Miss Tanzania pamoja na Mshindi Lilian 2014/2015.

Read more

NA KATIKA MAGAZETI LEO TUNA HAYA

Wazanzibari leo kufanya uamuzi ikiwa Dk Shein apeperusha Bendera ya CCM huku Hamad Rashid akiitoa shime ya kushiriki!! Habari hii tunaipata katika gazeti la Mzarendo.

Read more

RAPPER CHIDI BENZ ANA HAYA YA KUSEMA JUU YA KAZI YAKE YA MZIKI KWA SASA

Akiongoe kwa uchungu kwenye kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds TV jana Chidi ambaye mwili wake umepungua kwa kiasi kikubwa, amesema bado anao uwezo kimuziki lakinia aliowaita wadau walioushikilia muziki wamemtupa.

Read more

IDRISS ASEMA UPENDO WAKE NA WEMA SEPETU UPO POA KABISA

Akijibu swali la Mangazaji Sam Misago kuhusu mahusiano yake na Wema Sepetu kwa sasa kwamba inasemekana hawapo sawa,Idriss alisema Yeye na Wema hawana tatizo lolote.Aliendelea kwa kusema yeye hapendani na Wema kwa kutafuta umaarufu.

Read more
<< < 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974