Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
21 Mar

MBUMGE WA KIGAMBONI JUU KWA JUU..

Published by elipidius geofrey

Mbunge wa Kigamboni Dk Faustine Ndungulile amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kamati ya ushauri ya masuala ya Ukimwi, Afya ya mma na watoto ya Taasisi ya Wabunge Duniani (IPU). Dk Ndungulile amechaguliwa katika mkutano wa 134 wa Mabunge Duniani unaoendelea Mjini Lusaka, Zambia.

STARZTZ

MBUMGE WA KIGAMBONI JUU KWA JUU..
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974