Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

HATIMAYE WEMA AFUNGUKA KUHUSU DIAMOND NA ZARI

Hatimaye kwa mala ya kwanza Wema Sepetu kuhusu uhusiano wa aliyekuwa mpenzi wake Diamond Plutnums na Mrembo wa Uganda Zari The boss Lady. Wema lianza kwa kuwasifia na kusema anaipenda couple yao."Aisee nawapenda they make a good couple"

Read more

WAZIRI MKUU AMPA RAS KAGERA SIKU 5 APELEKE TAARIFA ZA MATUMIZI YA MILIONI 120 ZA HOSPITALI YA MKOA

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amekagua hospitari ya rufaa ya mkoa wa Kagera na kumpa siku 5 Kaim katibu tawala wa mkoa huo ,Bw. Adam Swaiamletee taarifa juu ya matumizi ya sh. milioni 80 ambazo ni fedha za UKIMWI na taarifa nyingine ya milioni 40 za ukarabati...

Read more

KAMISHNA WA JESHI LA POLISI ZANZIBA AKIZUNGUMZA KUHUSU MIRIPUKO YA UNGUJA NA PEMBA

Kamishana wa jeshi la polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame akizungumza na waandishi wa habari kkuhusu matokeo ya ulipuaji wa mabom na kuchoma moto nyumba na maskani za CCM Unguja na Pemba.

Read more

RAIS JOHN MAGUFULI ASEMA KAMA VIJANA HAWATAKI KUFANYA KAZI WALAZIMISHWE

Rais John Pombe Magufuli asema haiwezekani saa mbili asubuhi vijana wanacheza pool wakati wazee wapo shambani, kama hawataki kufanya kazi kwa kupenda walazimishwe!!!

Read more

AJALI YA BASI LA LEINA TOURS

Basi hili lilipata ajali dak 15 kabla ya basi hilo kufika katika kituo cha mabasi Ubungo likitokea Kahama Shinyanga. Abilia walio jeruhiwa kwa wakati huo ni zaidi ya 30

Read more

KESI YA ZITTO KABWE DHIDI YA IPTL YASURUHISHWA MARCH 23 KWA SIRI

Mahakama kuu inatarajia kusuluhisha kesi iliyofunguliwa na Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) dhidi ya Mbunge wa Kingoma Mjini Zitto Kabwe na wenzake March 23, mwaka huu.

Read more

WATEJA WA MAKAHABA WATIWA MBALONI

Jeshi la police kanda maalumu ya Dar es salaam limefanikiwa kuwakamata jumla ya watu 287 ambao ni dada poa pamoja na kaka poa katika operation maalum iliyofanyika maeneo ya jiji hilo.

Read more

KUTOKA IKULU LEO RAIS MAGUFURI KAMALIZANA NA BWANA JAVIER RIELO

Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki Javier Rielo amemuhakikishia Rais Magufuli kuwa kampuni hiyo itaanza ujenzi wa mradi wa bamba la kusafilisha mafuta, kutoka Uganda adi bandarini Tanga.

Read more

WEMA SEPETU AKANA KUWA NA MPENZI MWINGINE CONGO

Kwenye headlines za Wema Sepetu inasema, Muigizaji huyo staa wa Tanzania asemekana kuwa na mahusiano ya Kimapenzi na Mcongo. Sasa leo kupitia Instagramamejibu tetesi hizo na kuandika "sijawahi na sintowahi na mwanaume wa Mkongo wa aina yoyote.

Read more
<< < 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974