Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

MBUNGE WA KIJITOUPELE ZANZIBAR AJIONDOA NA NEC WAZUNGUMZA HAYA

Uchaguzi mkuu wa October 2015 ulikuwa ni uchaguzi uliovuta hisia za wengi na idadi kubwa ya watu walihamasika kushiriki uchaguzi huo.NEC yadai kuenelea na uchaguzi kama kawaida.

Read more

MREMBO HUYU ANACHEZA NA SIMBA!! DUH NINOOMA

Tukiwa tunajua katika ile list ya wanyama wakali Duniani ambao binadamu hawatakiwi kujisogeza au kucheza nao inamaana ukisikia kuna sehemu Simba kajitokeza mtaani, hata Pua hutatoa nje. Sasa ona huyu Msichana Mrembo kabisa anavyomchezea!!

Read more

RAIS MAGUFURI AFANYA UTEUZI MWINGINE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aendelea kuisuka serikali yake kwa kumteua Profesa Kahyarara kuwa Mkurugenzi mkuu wa shirika la Hifadhiya Jamii (NSSF), akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Ramadhan Dau.

Read more

SIMBA YATAMBA DHIDI YA COASTAL UNION

Ligi kuu ya soka Tanzania bara iliendelea March 19 kwa Simba kucheza na Coastal Union Mkwakwani Tanga ambapo Simba waliibuka kidedea kwa kuifunga Coastal Union goli 2-0.

Read more

HAYA NI MAAJABU YA MUNGU TANZANIA

Meja Jenerali afariki na afufuka!!! Nihabari iliyoandikwa katika gazeti la Risasi.Madaktari wathibitisha kifo chake, maiti yakaa siku 4 Asimulia mazito aliyoyaona baada ya kifo

Read more
<< < 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974