Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
20 Mar

IDRISS ASEMA UPENDO WAKE NA WEMA SEPETU UPO POA KABISA

Published by elipidius geofrey

Akijibu swali la Mangazaji Sam Misago kuhusu mahusiano yake na Wema Sepetu kwa sasa kwamba inasemekana hawapo sawa,Idriss alisema Yeye na Wema hawana tatizo lolote.Aliendelea kwa kusema yeye hapendani na Wema kwa kutafuta umaarufu.

STARZTZ

IDRISS ASEMA UPENDO WAKE NA WEMA SEPETU UPO POA KABISA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974