Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
17 Mar

KANYE WEST ALIOMBA KUPIGA PICHA VIATU VYA DIAMOND

Published by elipidius geofrey

Diamond alidai wakati yupo Airport Los Angeles akisubili mabegi yake mala gafra alikuja mtu na kumuomba apige picha viatu vyake, Diamond akadai hakuna tatizo baadae alipomwangalia vizuri ndo akagundua kuwa ni Kanye West.

STARZTZ

KANYE WEST ALIOMBA KUPIGA PICHA VIATU VYA DIAMOND
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974