Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

22 Mar

MHE. ZITTO KABWE AJING'ATUA UJUMBE. NIMEKUANDALIA HABARI KAMILI HAPA..

Published by elipidius geofrey

Ni Mbunge wa Kigoma aandika kwenye Ukurasa wake wa Facebook akisema "kuna tuhuma za rushwa dhidi ya kamati mbalimbali za Bunge ikiwemo kamati ninayohudumu. Nimemwandikia Spika kuomba Uchunguzi juu ya tuhuma hizo na na kwamba achukue hatua kali dhidi ya yeyote atakayekutwa kuhusika na vitendo vya Rushwa. Nimejiuzulu Ujumbe wa kamati ili kutoa nafasi ya Uchunguzi Husika.

STARZTZ

MHE. ZITTO KABWE AJING'ATUA UJUMBE. NIMEKUANDALIA HABARI KAMILI HAPA..
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974