Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

BABU TALE NA CHIDI BENZI WAANZA KAZI. PATA HABARI KAMILI HAPA

Babu Tale ni Meneja wa wa kundi la Tiptop Connection na pia ni Meneja wa Diamond Platnumz ambapo stori kubwa iliyomuweka kwenye headlines kuanzia march 21 2016 ni uwamuzi wake wa kumsaidia Rapper Chid Benz aliyekiri kutumia dawa za kulevya, uamuzi umepigiwa...

Read more

TAZAMA KAMATIA CHIINI YA NAVY KENZO CLUB 71. BOFYA HAPA KUPATA HABARI KAMILI

Navy Kenzo ni kundi l wakali wa bongo freva linaloundwa na wawili ambao ni Aika na Nahreel, hii ni picha ikionyesha mzuka katika show yao Club 71 Tegeta Dar es salaam ambapo wapo kwnye mzunguko wa Tour ya kuitambulisha Single yao mpya'Kamatia.

Read more

SALIM ASAS AJITOLEA KUMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KUPIGA VITA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA. SOMA HABARI NZIMA HAPA

Salim Asas asaidia kuhudumia waathirika wa Dawaza kulevya.Baadhi ya vijana waliokuwa wakitumia madawa ya kulevya kwa sasa wameachana nazo.

Read more

DIWANI WA KATA YA SIUYU AUKUMIWA MIEZI 6 JELA. HABARI KAMILI BOFYA HAPA

Singida Mahakama ya Mwanzo ya Ikungi Mkoani Singida imemhukumu Diwani wa kata ya Siuyu Tarafa Mungaa (CHADEMA) Jerad Mahami Jastin (34) kifungo cha miezi 6 Jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la Kuikosesha Serikali mapato.

Read more

KAMPUNI YA TIGO TANZANIA YATOA MSAADA WA MADAWATI 500. SOMA HABARI KAMILI HAPA..

Kampuni ya Simu ya Tigo Tanzania imetoa msaada wa Madawati 500 yenye thamani ya Milioni 82.5 kwenye Shule za Msingi katika Mkoa wa Dar es salaam ikiwa ni Mchango kusaidia Serikali kukabiliana na Upungufu wa Madawati katika shule za Msingi.

Read more

AKAMATWA NA PEMBE ZA TEMBO 39 NYUMBANI KWAKE. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Polisi wa Kenya jana siku ya Jumanne walimtia mbaloni mtuhumiwa wa Pembe za Ndovu Thomas Muhoro Ngati mwenye Umri wa miaka 35 kwa kukutwa na Pembe za Ndovu 39 Nyumbani kwake, baada ya Polisi kuvamia nyumba yakekatika mtaa wa Ruiru, Mashariki mwa Nairobi,...

Read more

TBS YATAKIWA KUHAKIKI MITAMBO NA VILAINISHI KUTOKA NJE YA NCHI. PATA HABARI KAMILI HAPA..

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akisaini kitabu cha wageni mala baada ya kuwasili katika kiwanda cha Nondocha Kamal Steels Ltd. Kilichopo Chang'ombe , DSM pembeni yake GAgan Gupta ambaye ni Mwenyekiti na Mtendaji wa Kiwanda...

Read more

KAULI YA SUAREZ BAADA YA KUMALIZA ADHABU YAKE. PATA HABARI KAMILI HAPA

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Uruguay ambae anaichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania Luis Suarez amefunguka kwa mala ya kwanza baada y kumaliza adhabu yake na kujiunga na Kikosi cha timu yake ya Taifa ya Uruguay kilichopo Montevideo. Suarez amefunguka...

Read more

UCHAGUZI WA MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAKAMILIKA. PATA HABARI KAMILI HAPA..

Uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es salaam ulichukua headlines siku zilizopita baada ya wananchi kuwa na hamu ya kumfahamu Meya mapema,sasa leo March 22, 2016 hatimaye Diwani Issaya Mwita kupitia vyama vinavyounda Umoja wa katiba ya Wananchi (UKAWA) ameibuka...

Read more
<< < 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974