Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MREMBO LULU DIVA MAPNZI YAKE NA NAY SIO YA MTANDAONI...

Mrembo huyu anayekuja kwa kasi sana katika ulimwengu wa Video Qeen Bongo, Lulu Abbasi 'Lulu Diva' amefunguka na kusema Mapenzi yake na Staa wa Bongo fleva, Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego' sio ya mitandaoni so ata akiweka picha ya mwanamke mwingine...

Read more

RUBY NAOGOPA KUMUANIKA MPENZI WANGU ADHARANI KWASABABU...

Msanii wa Muziki wa Bongo fleva anayefanya vizuri Hellen George 'Ruby' amesema kaati ya vitu anavyo viogopa Duniani ni pamoja na kumuanika mwandani wake hadharani.

Read more

MKE WA MENGI AMEYAONGEA HAYA KUHUSU SWALA LA MAJIPU...

"Hivi haya Mmatrioni yaliyokuwa yanatafunwa na haya Majipu yanatoka wapi, wakati tulikuwa tunaaminishwa kwamba Nchi yetu Maskini??

Read more

VIDEO: HIVI NDIVYO MAMIA YA WAKAZI WA JIJI LA MBEYA WALIVYOJITOKEZA KUMZIKA MSANII KINYAMBE...

Mamia ya wakazi wa jiji la Mbeya wamemzika aliyekuwa Msanii wa Vichekesho James Petro Nsemwa (30) Maarufu kama Kinyambe ambaye alifariki Dunia Jumatano ya Wiki hii Mkoani Mbeya, katika Makaburi ya Hayombe Uyole Igawilo Mkoani Meya.

Read more

HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA MILLEN MAGESE ALIPOKUWA AKILA BATA...

Miss Tanzania mwaka 2001 na mwanamitindo wa Kimataifa Millen Magese ametupia picha kwenye akaunti yake ya Instagram ambazo zimeonekana kuwadatisha njemba wengi.

Read more

ARSENAL YAILAZA CHELSEA KUSHINDA KOMBE LA FA.

Bao lililofungwa na Danielle carter lilikisaidia kikosi cha wanawake wa timu ya Arsenal kuchukua taji la 14 la kombe la FA baada ya kutawala mechi dhidi ya Chelsea katika uwanja wa Wembley. Carter,ambaye alipiga juu alipopata nafasi yake ya kwanza aliipatia...

Read more

KOREA YA KASKAZINI YAZUIA MELI YA URUSI.

Mashua kutoka Urusi imezuiliwa na walinzi wa pwani wa Korea Kaskazini, katika Bahari ya Japan, ikiwa na watu watano. Ripoti zinasema mashua hiyo ilizuiliwa wakati ilipokuwa inarudi Urusi, baada ya kushiriki kwenye mashindano ya mashua. Wanabalozi wa Urusi...

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974