Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MREMBO BABY MADAHA AMESANUKA HAYA KUHUSU MPENZI WAKE...

Mwigizaji wa Filamu za Bongo Baby Joseh Madaha, ameibuka na kudai kwasasa ameamua kutulia na mdoa yake na Mwarabu wa Dubai ambaye hakutaka kumtaja jina.

Read more

STAA RAY ATIMKIA RWANDA...

Msanii wa filamu, Vicent Kigosi 'Ray' hivi kalibuni ametimkia huko Rwanda baada ya kualikwa kushiriki kuandaa filamu itakayoshirikisha Wasanii wa Tanzania na Rwanda.

Read more

HABARI ZIRIZOJITOKEZA KATIKA MAGAZETI YA LEO MAY 17, 2016

Ikiwa ni kawaida yangu kila siku kukusogezea habari kuu mbalimbali zinazojitokeza katika Magazeti ya Tanzania,na leo na endelea hivyohivyo, soma Magazeti hapa

Read more

JEDWALI LA MSIMAMO WA LIGI YA EPL 2015/16

Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL kufikia 16 Mei, 2016. Nambari Klabu Mechi Mabao Alama 1 Leicester 38 32 81 2 Arsenal 38 29 71 3 Tottenham 38 34 70 4 Man City 38 30 66 5 Southampton 38 18 63 6 Man Utd 37 12 63 7 West Ham 38 14 62 8 Liverpool 38 13 60...

Read more

RASHFORD ATAJWA KIKOSI CHA UINGELEZA CHA EURO.

Meneja wa timu ya taifa ya Uingereza Roy Hodgson amemtaja chipukizi wa Manchester United Marcus Rashford kwenye kikosi chake cha wachezaji watakaocheza Euro 2016. Rashford, 18, alianza kuchezea timu kuu ya Uinted kipindi cha pili cha msimu lakini aliwika...

Read more

Ripoti: WAKAZI WENGI WA PWANI YA TANZANIA KUWA HATARINI.

Tanzania ni miongoni mwa nchi 25 duniani ambazo zitakuwa na watu wengi maeneo ya pwani walio katika hatari ya kuathiriwa na mafuriko kutokana na mabadiliko ya tabia nchi kufikia mwaka 2060. Shirika la Christian Aid la Uingereza, kwenye ripoti yake, linasema...

Read more

NDEGE KUBWA ZAIDI DUNIANI YATUA AUSTRALIA.

Maelfu ya watu nchini Australia wanaopenda ndege walikusanyika kutizama ndege kubwa zaidi duniani ya Antonov An-225 Mriya, ilipowasili mjini Perth nchini humo. Ndege hiyo yenye urefu wa mita 84 na uzito wa tani 175 bila ya kubeba mzigo wala mafuta, ilikuwa...

Read more

RWANDA YAWAHAMISHA RAIA KUTOKA BURUNDI.

Ripoti zinasema kuwa wale ambao walikataa kwenda kambi ya wakimbizi, walinyanganywa mali yao na kisha wakafukuzwa. Maafisa nchini Burundi wanasema kwamba Rwanda imewafukuza zaidi ya raia elfu moja mia tatu wa Burundi kutoka nchini humo katika kipindi...

Read more

WASTARA ASEMA YEYE SIO MWANAMKE WA KUJIUZA...

Staa wa bongo Movi, Wastara Juma, ambaye siku za Kalibuni aliomba talaka kutoka kwa Mume wake amefunguka na kusema, yeye sio mwanamke wa kujiuza ila ni mwanamke ambaye anajijali na kujitunza.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974