Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

ALIKIBA APATA DILI BABUKUBWA KUTOKA KAMPUNI YA SONY...

Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba leo amesaini mkataba na Sony Music, kampuni kubwa ya Muziki inayofanya kazi na Mastaa wa Dunia kama Beyonce, John legend na Chris Brown.

Read more

BASI LA MWENDO KASI LAUWA MTU MMOJA...

May 19, 2016 katika maeneo ya Shekilango jijini Dar es salaam ilitokea ajali baada ya mwendesha bodaboda akiwa na abiria wawili kwenye pikipiki moja akijalibu kulipita gari la mwendo kasi na kujikuta amezidiwa uwezo na kujikuta akipata ajali na kusababisha...

Read more

JAYDEE AJA NA HAYA MAPYA...

Msanii huyu Lady Jaydee amekataa jina la Binti Machozi.Akiongea na East Africa Tv Jydee amesema ameamua kubadili jin hilo kwani hata yeye sasa hivi hatumii jina la Binti Machozi, akiamini msemo wa watu kuwa jina huzaa maana kwenye maisha.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO MAY 20, 2016

Kama ilivyo ada mtu wangu naendelea kwa kukusogezea post za habari kuu zilizojitokeza katika Magazeti ya Tanzania leo zikiwemo habari za Udaku,Michezo,Matukio n.k

Read more

SIKU YA MAKUMBUSHO DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR...

Waziri wa habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Rashidi Ali Juma akizungumza na wafanyakazi na wananchi walioshiriki maonyesho ya sanaa katika maadhimisho ya siku ya Makumbusho Duniani yaliyofanyika Makumbusho ya Mnazi mmoja Zanzibar..

Read more

VIDEO: GIGY MONEY ADAI KUWA ATA AKIWA HAWARA WA MATONYA HAMNA SHIDA KWANI...

Story ambazo zimesambaa katika mitandao ya kijamii kuwa Matonya kwa sasa anachepuka kimahabati na Gigy Money huku wakisikika kuwa ni Kick ya Ngoma yao ya Supu. Katika mahojiano waliyofanya na E News wote wawili walishindwa.

Read more

VANESA MDEE AELEZA CHANGAMOTO KUBWA ZAIDI WASANII WA KIKE...

Baadhi ya waigizaji wa kike wa filamu Nchini Marekani waliwahi kulalamika utofauti wa malipo kati yao na wanaume. Kinachowaumiza sana ni kuwa wanaume hulipwa malipo makubwa zaidi kuliko wanawake ata katika uhusika unaofanana, Kwa mujibu wa Vanessa Mdee...

Read more

SHILELO NA VANESSA MDEE NDANI YA BIFU KALII, HII NI BAADA YA ...

Msanii Shilole ametangaza vita na msanii mwenzake Vanessa Mdee, nakusema asiomb kukutana naye.akiongea na East Africa TV baada ya kupigiwa simu kujibu tuhuma hizo amesema 'Ukiona hivyo ujue kimenuka, kaniongelea shit me sijapenda, tena mwambieni nikikutana...

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974