Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MAGAZETI YA TANZANIA YAMETWANDIKIA HAYA LEO MAY 26, 2016

Nikiendelea kukusogezea habari kuu zilizojili katika Magazeti ya Tanzania leo, usichoke kwani kila siku nakusogezea kalibu.

Read more

VIDEO: HII INAONYESHA DIAMOND ALVYOMWAGA HELA KATIKA BIRTHDAY YA MTOTO WA AUNTY EZEKIEL...

Aunty Ezekiel alitamani angeenda na mwavuli wa kujikinga na mvua ya hela iliyomnyeshea juzi kwenye Birthday ya kutimiza mwaka mmoja ya mwanae.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO MAY 25, 2016

Kama kawaida yangu kila siku kukusogezea post za habari kuu zilizojili katika Magazeti ya Tanzania, na leo nakutaka uungane nami kwaajili ya kusoma Magazeti ya leo

Read more

VIDEO: HARMONIZE NDANI YA PENZI ZITO NA JACKLINE WOLPER IKIWA...

Mwigizaji Jackline Wolper wa Bongo Movie yuko penzini na Mwimbaji Harmonize mwanamuziki wa Bongofleva anayetokea katika lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Plutnumz, wapenzi hawa wawili hawakusita kuonyesha pendo lao adharani wakati wa Birthday party...

Read more

KAMA ULIIKOSA KUIONA HII YA MBUNGE ZITTO KABWE AKIMVISHA PETE MCHUMBA WAKE...

Mwana siasa Zitto Kabwe ameamua kuacha ukapela, kwenye picha akionekana kumvisha pete ya uchumba mchumba wake anayetarajia kumuoa.

Read more

PROFESA ANNA TIBAIJUKA KITANZINI TENA AJIMILIKISHA SHAMBA LA HEKA 4000...

Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka na Mkuu wa Wilaya ya Siha, Dk. Charles Mlingwa wamelipuliwa wakidaiwa kutumia madaraka yao vibaya. Tuhuma hizo zilitolewa jana na Wabunge wa vyama vya Upinzani Conchesta Rwamlaza (Viti maalum-Chadema) na...

Read more

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA HARAKATI ZA KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM...

Baadhi ya mawakili na Wanasheria wakiingiza mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bwa. Mbonea Wilson Kabwe katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974