Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
16 May

MREMBO LULU DIVA MAPNZI YAKE NA NAY SIO YA MTANDAONI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Mrembo huyu anayekuja kwa kasi sana katika ulimwengu wa Video Qeen Bongo, Lulu Abbasi 'Lulu Diva' amefunguka na kusema Mapenzi yake na Staa wa Bongo fleva, Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego' sio ya mitandaoni so ata akiweka picha ya mwanamke mwingine hamuonei wivu.

STARZTZ

MREMBO LULU DIVA MAPNZI YAKE NA NAY SIO YA MTANDAONI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974