Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

PAPA FRANCIS AKUTANA NA WAISILAMU MISRI.

Papa Francis akikutana na kiongozi mkuu wa chuo kikuu cha kiislamu nchni Misri Al-Azhar Kiongozi mmoja wa kidini nchini Misri amefanya mazungumzo na Papa Francis ,ikiwa ni ishara za hivi karibuni za kutaka kuimarisha uhusiano kati ya dini hizi mbili kubwa...

Read more

ALIKIBA AWATESA MASHABIKI WAKE KATIKA MITANDAO YA KIJAMII...

Tupo kwenye ulimwengu ambao mitandao ya kijamii imegeuka kuwa chakula ambacho unapaswa ule kila siku. Kwa watu maarufu mitandao imegeuka kuwa sehemu muhimu kwao kuwa kalibu na mashabiki wao.

Read more

VIJIMAMBO AJIOA BAADA YA KUKOSA WA KUMUOA...

Yasmin Eleby hakupata mchumba wa kumuoa mtu ambaye alitaka awe mume wake akifikisha umri wa miaka 40-- kwahiyo akaamua kufanya kitendo ambacho kimewaacha midomo wazi wengi baada ya kujioa mwenyewe.

Read more

HIZI NI KOLABO ZILIZOSUBILIWA NA MASHABIKI WA MUZIKI WA BONGO...

John Makini ft. Fid Q: Wakali hawa wa Muziki wa Hip hop Tanzania wamejizolea mashabiki kila kona katika kila Nchi kutokana na Hits zao.

Read more

BAYER YABEBA KOMBE LA UJERUMANI, GUARDIOLA AMWAGA CHOZI AKIAGWA...

Bayern Munich imeishinda Borrusia Dortmund kwa penalti 4-3 na kubeba ubingwa wa Kombe la Ujerumani. Huo ni ushindi wa 11 kwa Bayern kushinda makombe mawili ya Bundesliga na Kombe la Ujerumani kwa wakati mmoja.

Read more

KIMENUKA!! ALIKIBA NA DIAMOND SOMA HAPA...

Wasswahili usema mafahari wawili hawakai zizi moja! hiki kimenuka kati ya Diamond na Alikiba kudaiwa kutupiana vijembe vya kufa mtu baada ya kuwepo kwa madai ya Kiba kuhujumiwa.

Read more

HII INAITWA THE MAJANGAZI, BABA WA FAMILIA AJIFUNGUA MTOTO...

Familia inayoundwa na wanandoa Bianca na Nick Bowser, ni familia yenye furaha ila inayoshangaza wengi baada ya Nick (Baba wa familia) kupata ujauzito na kujifungua..

Read more

MASTAA WA BONGO WANAOONGOZA KWA SKENDO KILA KUKICHA...

Wema Sepetu: Masta wa Bongo wamekuwa wakiandamwa sana na skendo huku wengine wakiona ndio njia ya kujing'arisha kisanii, skendo zao zimekuwa za aina mbalimbali lakini ikiwa wengi wao wakiandamwa na skendo za ngono katika makala hii utaipata Top 10

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974