Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

STAA KAJALA AMUANGUKIA RAIS NA KUMPA MANENO MAZITO HAYA...

Mtoto mzuri anayebamba katika bongo Movies Kajala Masanja 'Kay' amemuangukia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akisema kama ikitokea akatoa Msamaha wa wafungwa asimsahau mume wake, Faraji Agustino ambaye yupo Gerezani Segerea...

Read more

ANGALIA MAAJABU HAYA MWANAMKE MWENYE UMRI WA MIAKA 65 AJIFUNGUA MAPACHA WANNE...

Raunigk aliyechangiwa mayai na mbegu za kiume ana watoto wengine 13 kutoka kwa baba watano tofauti. Mwanamke mmoja kutoka Berlin Ujerumani ambaye ana watoto kumi na watatu ametagaza kuwa na ujauzito tena wa mapacha wanne.

Read more

MKUU WA MKOA MHE. PAUL MAKONDA AMEZITAKA BENKI ZIMWAMBIE WALIOKUWA WANAPOKEA MISHAHARA HEWA...

Mhe. Paul Makonda amezitaka Benki Nchini zishirikiane na Serikali ili kubaini akaunti zilizokuwa zikiingiziwa Mishahara hewa pamoja na kuwabaini wote waliohusika katika malipo hayo.

Read more

HUU NDIO MUONEKANO WA NDANI WA MELI KUBWA DUNIANI, JE UNAIKUMBUKA TITANIC?...

Mapema wiki hii Meli ambayo inauwezo wa kuchukua Abiria 6,780 iling'oa nanga Southampton kwaajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya kuzinduliwa rasmi, watu 3000 wamepata bahati ya kupanda Meli hii kubwa Duniani.

Read more

LOUIS VAN GAAL AMEYASEMA HAYA BAADA YA UBINGWA WA KOMBE LA FA KWA MAN UNITED...

Baada ya kufanikiwa kutwaa MAN United, Louis Van Gaal amezungumza kauli ya kujivunia licha ya kuwa kubarua chake kipo mashakani kuchukuliwa na Jose Mourinho kwa siku za usoni, ambapo Mchana wa May 21, 2016 zilisikika tetesi za kuwa Van Gaal amelipotiwa...

Read more

NE-YO AONYESHA UKONGWE WAKE KATIKA SHOW YA JEMBEKA FESTIVAL 2016...

Msanii wa Muziki kutoka Marekani Ne-Yo ameandika historia ya muziki mkoani Mwanza baada ya kufanya show ya nguvu katika tamasha la Jembeka Festival 2016 lililofanyika Jumamosi hii katika Viwanja vya CCM Kirumba.

Read more

WAZIRI KITWANGA ATUMBULIWA, HII NI BAADA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amepindua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani Waziri Kitwanga. Hii ni baada ya sababu inayosemekana kuwa Waziri huyo kuingia Bungeni akiwa amelewa.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974