Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

NYOTA NDOGO AZAWADIWA GARI KAMA ZAWADI YA HARUSI...

Mama mlezi wa pwani imeonekana ashapata wa kumtunza na kumtunuku asilimia moja moja baada ya kuzawadiwa Gari kama zawadi ya Harusi.

Read more

VAN GAAL KUTIMULIWA BILA TAARIFA BAADA YA JOSE MOURINHO ...

Huenda huu ukawa ndo mwisho wa headlines za Jose Mourinho kuhusishwa kujiunga na Klabu ya Man United. Sky Sport wameripo Jose Mourinho kusaini Mkataba rasmi na Man United, kinachosubiliwa ni uongozi wa Timu hiyo kumtangaza tu, kwani jana May 26, ameonekana...

Read more

KATIKA HEADLINES LEO NI KUHUSU CHID BENZ KUTOROKA SOBER HOUSE...

Wakati wadau wa Muziki wakifafanuakuwa msanii wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwilo 'chid Benzi' yuko katika kituo cha kusaidia waathirika wa madawa ya Kulevya 'Sober House' kilichopo Bagamoyo Mkoani Pwani, inadaiwa Chid Benz ashatoroka kitambo na...

Read more

VANESSA MDEE NA SHILOLE KUPIGA SHOW MOJA BAADA YA BIFU ZITO...

Wasanii wanaofanya vizuri kwenye Bongo fleva, wiki kadhaa nyuma walikuwa kwenye bifu kali iliyokuwa ikiwaonyesha wao kutupiana matusi na vitisho katika mitandao ya kijamii ambapo chanzo bila kujulikan sasa imeonekana watakuwa na show moja weekend hii....

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO MAY 27 2016

Naendelea kwa kukusogezea habari kuu zilizojitokeza katika Magazeti ya Tanzania leo. Usichoke kusoma bali soma upate maarifa..

Read more

HII NDIYO TOFAUTI YA JACKLINE WOLPER NA WEMA SEPETU...

Siri nzito yafichuka juu ya Wema Sepetu na Jackline Wolper ikihusu wanaume zao!! haha soma katika Gazeti nililokusogezea hapo katika Gazeti la WEMBE.

Read more

KAMA ULIKOSA HII YA RAIS JOHN MAGUFULI ALIVYOMTEUA MHE. MIZENGO PINDA KUWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA HURIA TANZANIA...

Rais Dkt Magufuli akiwa na mazungumzo macache na Mhe Mizengo Pinda baada ya kumteua kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Huria.

Read more

NIKI MINAJI AJA NA STYRE MPYA INSTAGRAM BAADA YA KUPOST...

Akionekana katika picha mbalimbali za utupu. Mrembo huyu Niki Minaji amevunja ukimya kwa kutupia pichha za utupu mtandaoni.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974