Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO MAY 19, 2016

Ikiwa ni kawaida yangu kukusogezea habari kuu zinazojitokeza kila siku katika Magazeti ya Tanzania, basi na leo na kualika kusoma hizo bahari hapa.

Read more

MREMBO FAIZA ALLY AFUNGUKA MENGI ASEMA TOKA AACHANE NA SUGU...

Msanii wa filamu na mama wa mtoto mmoja aitwae Sasha. Faiza Ally amedai hajawahi kufanya au kutoka kimahaba na Mtanzania yeyote toka alipoachanana mume wake Joseph Mbilinyi 'Sugu' kwa madai kuwa anaogopa kudhalilishwa.

Read more

IRENE UWOYA ATOA UJUMBE HUU MZITO KWA RC MAKONDA...

Usafi nikipimo cha ustarabu... hakuna kitu kizuri kama kuwa Mstarabu usijifanye mstarabu ... hongera sana Mh. Paul Makonda na Mungu akutangulie kwa kila jambo.

Read more

OMMY DIMPOZ AFUNGUKA LIKE NEVER BEFORE SOMA HAPA...

Msanii mkali wa Muziki, Ommy Dimpoz amesema haumizwi akili na kauli mbalimbali za mashabiki wake wa kwenye mitandao ya kijamii wanaosema anajipamba kuzidi, lakini yeye amesema haumzwi na hayo maneno kwasababu anajua ni mwanaume wa aina gani.

Read more

JUHUDI ZA MBUNGE MAARUFU WA ZAMANI KURUDI BUNGENI KWA KUTUMIA MAHAKAMA ZAKWAMA LEO!!!

TABORA: aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ameshindwa katika kesi aliyoifungua kupinga ushindi wa Hasna Mwilima wa CCM.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974