Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

HARAMBEE STARS YAJIANDAA KUCHEZA NA TAIFA STARS.

Harambee wakiwa mazoezini. Timu ya taifa ya soka ya Kenya harambee stars imeanza kambi rasmi ya mazoezi mjini Nairobi zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kucheza dhidi ya Tanzania katika mechi ya kirafiki. Wachezaji wa timu hiyo maarufu kama Harambee...

Read more

Nyota wa filamu ya Pink Panther,Burt Kwouk afariki.

Burt Kwouk Burt Kwouk ambaye alijulikana sana kwa kuigiza kama Inspekta Clouseas manservant Cato katika filamu za Pink Panther amefariki akiwa na umri wa miaka 85. Alishiriki katika filamu kadhaa za Pink Panther mkabala na Peter Sellers kama mfanyikazi...

Read more

WANASAYANSI CHINA WATUMIA NGURUWE KUTIBU UPOFU.

Konea kutokwa kwa nguruwe hutibiwa na kutolewa DNA kabla ya kupandikizwa Wanasayansi wa Uchina wamefaulu katika tiba yao mpya ya majaribio ya kutibu upofu. Walitumia nguruwe katika majaribio hayo ya tiba ya kuondoa upofu, ambapo walitumia konea kutoka...

Read more

BOTI ILIYOPATA AJALI ZIWA NYASA YATAFUTWA.

Boti iliyofanya safari kutoka Mbamba Bay inahofiwa kupigwa dhoruba. Takriban watu 12 hawajulikani walipo hadi sasa, wakihofiwa kufa maji baada ya boti iliyokuwa ikifanya safari kutoka Mbamba Bay nchini Tanzania kwenda Nkhata Bay Malawi kuzama kwenye Ziwa...

Read more

YANGA NA AZAM KUVAANA KESHO.

Timu za Azam na Yanga vitashuka katika dimba la taifa Dar es salaam hapo kesho katika mchezo wa fainali. Mchezo huu ni wa fainali ya michuano ya kombe la shirikisho ambapo timu hizi mbili zitakuwa zikiwania kikombe na nafasi ya kuiwakilisha nchi katika...

Read more

WASTON,EDMUND WAINGIA RAUNDI YA PILI.

Wacheza tenesi Heather Watson na Kyle Edmund wamefuzu kuingia raundi ya pili ya michuano ya wazi ya ufaransa.Watson, alimshinda mpinzani wake Nicole Gibbs, kwa seti mbili baada ya kupoteza seti ya kwanza kwa 5-7 kisha akashinda kwa 6-2 6-2. Gibbs alikua...

Read more

CHINA YAKANA KUUZA NYAMA BINADAMU AFRICA.

Nyama Wizara ya maswala ya kigeni nchini China imekana ripoti kwamba kampuni za chakula nchini humo zinaweka nyama ya binaadamu na kuuza barani Afrika kama nyama ya ng'ombe. Chombo cha habari nchini humo Xhinua kimesema kuwa jarida moja nchini Zambia...

Read more

Alikiba Fm. M.I

[Verse 1 – Alikiba] Ucheshi na sauti Amenifanya nam-miss tu Mwambie asiogope Josee ni kipenzi cha watu Ntafanya party nyumbani Hiyo yote kwa ajili yake Tena asije peke yake Asiogope aje na wenzake Ntafanya party nyumbani Hiyo yote kwa ajili yake Tena...

Read more

SIMBA WAKAMATWA NA KUFUNGWA KWA KUWAUA WATU.

Maafisa wa misitu nchini India wamewakamata na kuwafungia simba 13 wa bara Asia, magharibi mwa India baada ya watu watatu kuuawa. Simba hao walizungukwa na kukamatwa baada ya kijana mmoja kutolewa katika kijiji chake, kuuawa na kuliwa kiasi. Watu wengine...

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974