Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MAGORI YA FC BARCELONA DHIDI YA MANCHESTER CITY HAYA HAPA, MASHABIKI WA MAN CITY VILIO...

Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeendelea tena usiku wa October 19 2016 kwa michezo nane tena kuchezwa kama iliyochezwa usiku wa October 18, mchezo wa Man City dhidi ya FC Barcelona katika dimba la Nou Camp ulikuwa ndio mchezo ulioteteka hisia za...

Read more

MAGAZETI YA TANANZANIA YAMEAMKA NAHIZI LEO OCTOBER 20, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Naendelea kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika pande zote za Dunia, usichoke kuwa kalibu yangu mtu wangu kwaajili ya kuzipata habari.

Read more

MECHI YA REAL MADRID DHIDI YA WAPINZANIA WAO LEGIA WARSZAWA KATIKA MICHUANO YA UEFA CHAMPIONS WAMEIBUKA NA USHINDI MNONO WA BAO 5-1..

Burudani ya michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliendelea usiku wa October 18 2016 kwa viwanja 8 kuchezwa michezo 8 ya hatua ya makundi round ya tatu, moja kati ya michezo iliyoshuhudiwa ikimalizika kwa idadi kubwa ya magoli ni mchezo kati ya Real Madrid...

Read more

BAADA YA SIKU 48, ZA NDOA SHAMSA AANZA MAPICHAPICHA YA KULIALIA AKIDAI ANABANWA...

Ni mrembo huyu kutoka katika Tasnia ya bongo movie leo kaja na hii mpya, akiongea na studio zetu za STARZTZ Shamsa baada ya kuhojiwa amesema Ndoa Ngumu, kubanwa sana akaendelea kusema Siku hizi akichelewa kurudi ni Kesi kubwa na mwisho akida kuwa amempuuza...

Read more

MAKUBWA YAIBUKA, SHAMSA FORD AAMUA KUMRUDIA MUNGU WAKE...

Shamsa akizungumza baada ya kufunga ndoa Malkia wa filamu na mama wa mtoto mmoja, Shamsa Ford amefunguka kwa kusema kuwa kwa sasa anataka kujikita zaidi kwenye ibada ya kufanya mambo ambayo yanampendeza mwenyezi Mungu. Mwigizaji huyo ametangaza uwamuzi...

Read more

HARMONIZE AYASEMA HAYA BAADA YA KUSHINDA TUZO YA AFRIMMA, NI MSANII KUTOKA KATIKA LEBO YA WCB...

Hii ilitokea jana ikiwa ni wasanii wawilitu kutoka Tanzania na kutoka katika lebo ya WCB iliyoko chini ya Diamond Platnumz, wasanii hawa wawili ni Diamond Platnumz na Harmonize waliweza kushinda tuzo za AFRIMMA zilizokuwa zikitolewa alfajiri ya jana huko...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO OCTOBER 18, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Mtu wangu endelea kuwa nami kila siku kwaajili ya kujua nini kinaendelea katika ulimwengu huu wa Digitali

Read more

ABDU KIBA AFUNGUKA MAZITO JUU YA KUTOFANYA KOLABO NA KAKA AKE ALIKIBA....

Nikiwa katika kuzulula kwangu leo nimekutana na hii habari ya kusisimua kweli kutoka kwa mkali Abdu Kiba, Msanii huyu kutoka katika tasnia ya ya bongo fleva amesema Alikiba hafanyi naye Kolabo kwasababu yupo bize na wasii wengine.

Read more

HAWA NDIO MA MISS TANZANIA WETU WAKIWA WANAELEKEA KATIKA FAINALI MWANZA....

Mtu wangu wa nguvu ntakuwa nikikusogezea zile habari za kila kitakachokuwa kinaendelea kuhusu Miss Tanzania Mwaka 2016 ikiwa fainali ni tarehe 28/10/2016.

Read more
<< < 10 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974