Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

WWEMA SEPETU ALUDISHA PENZI LAKE KWA DIAMOND...

Ni habari ambayo nimeamka nayo leo inayosema Staa wa Bongo movie wema Sepetu na Diamond Platnumz wamo Ndani ya penzi zito tena, huku ikisemekana kwamba Wema aenda kujirusha naye Sauzi kila mmoja aliondoka Bongo kivyake.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO OCTOBER 1, 2016...

Ikiwa leo ni October 1, 2016 naendelea kukusogezea zile habri muhimu kutoka kila kona ya Dunia ili ujue ni nini kinaendelea hapa Nchini.

Read more

SHILOLE NA SNURA WAZUA GUMZO TIGOFIESTA...

Mastaa hawa kutoka katika tasnia ya bongo fleva Shilole a .k .a Shishi babyna mwenzake Snura mamaa Majanga wameonekana wote kuwa na Majanga baada ya hii taarifa niliyonayo hapa inayosema kwamba wao wamekuwa vipozeo vya wasanii wanaume katika kipindi hiki...

Read more

KHADIJA KOPA AHUSIKA KATIKA KUVUNJIKA KWA NDOA YA MWARABU....

Ni staa wa Taarabu a. k. a mama wa mipasho Khadija Kopa, leo ameonekana katika headlines zetu kwa hizi habari zinazomuhusu zikiwa zinasema "Khadija Kopa nyonga zake kuvunja ndoa ya Mwarabu" noma sana.

Read more

MASOGANGE AZUA UTATA BAADA YA TAARIFA KUVUMA....

Na hii ni kati ya habari nilizonazo hapa katika Studio zetu hizi inayosema "Masogange adaiwa kuwa na Ngoma" inadaiwa kuwa alienda kupima kimyakimya huku akiwaacha na hofu waliotembea nae.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO SEPTEMBER 30, 2016 YAMEAMKA NA HIZI KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Mtu wangu endelea kuwa nami wakati nikiendelea kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika pande zote za Dunia.

Read more

HII SI YAKUKOSA MTU WANGU NI OCTOBER 1, 2016 DHIDI YA HAWA WATANI WA JADI...

Kama kawaida yangu mtu wangu nakusogezea zile habari muhimu zinazoendelea kujili katika Ulimwengu wetu huu na hii si ya kukosa ikiwa ni Mchezo wa watani wa Jadi mechi kali kati ya Simba na Yanga watakavyoonyesha ubabe katika uwanja wa Taifa jijini Dar...

Read more
<< < 10 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974