Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

JACK PENTEZEL ATUMBULIWA NA MUMEWE, MAPENZI MWIKO...

Katika habari nilizonazo leo ni pamoja na hii ya huyu Mrembo Jack Pentezel kuachwa na mumewe maka miwili iliyoita, kisa chajulikana kwamba ni kutoa mimba za Mumewe kiolela.

Read more

HIRIZI YA DIAMOND CHINI PWAAAH!! AIBU NA HOFU TELE VYATANDA...

Katika habari nilizonazo nipamoja na hii ya Diamond kudondosha hilizi yake adharani, waswahili wameanza kusema "Alisahau kuifunga vizuri!!" Diamond aanza kuwa kichaa huku ikisemekana kwamba laana ya baba kuanza kutimia, Zari amwangukia Wema King Kiba...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO OCTOBER 5, 2016 YAMEAMKA NA HIZI KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Nawndelea kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika pande zote za Dunia, endelea kuwa kalibu yangu kila siku uweze kujua ni nini kinaendelea..

Read more

MAMA DIAMOND AFUNGUKA MAZITO JUU YA ZARI...

Mama Diamond leo ameonekana katika headlines zetu leo kwa hii habari inayosema "Sipendi ujinga"- mama Diamond, hii ni baada ya madai ya kumloga Zari, afunguka mwanzo mwisho huku akitema cheche kwa wabaya wake awataja na polisi.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO OCTOBER 4, 2016...

Nendelea kuwa nami ndugu Msomaji wa makala zangu, na usikose kufuatilia nini kinaendelea kujili katika blog hii ya STARZTZ.

Read more

LISTI YA WASANII WATAKAOWANIA TUZO ZA MTV MAMA 2016 YAONGEZEKA...

Hii ni baada ya majina ya mwanzo ya September 21, 2016 ya wasanii watakaowania tuzo za MTV MAMA 2016 yalipotajwa huku Naseeb alimaarufu kama Diamond Platnumz, Kundi la Navy Kenzo pamoja na Alikiba ndio wasanii wa Tanzania waliotajwa kuwania tuzo kubwa...

Read more

VIDEO:VIDEO MPYA YA BARAKA THE PRINCE NA ALIKIBA HII HAPA"NISAMEHE"...

Ni new official video kutoka kwa kali hawa wa bongo fleva wakiwa wanatuletea ngoma hii mpya, icheki alafu uache comment hapo mtu wangu.

Read more

DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI MAHABA NIUWE SASA...

Hii ni kufuatia Picha za Mastaa hawa Diamond a .k a. Baba tiffah na Zari a k. a. The Boss Lady kusambaa katika mitandao ya kijamii wakionekana kuwa katika Penzi zito ikiwa ni baada ya Drama kibao.

Read more

TIMU YA SIMBA NA YANGA ZA ZUILIWA KUUTUMIA UWANJA WA TAIFA...

Hii ni kufuatia uharibifu uliofanyika katika Mechi zao zilizochezwa October 1, 2016 ikiwa katika Mechi hiyo Simba na Yanga timu zote zilitoka zikiwa na sare ya bao 1-1. Mhe waziri wa michezo Nape Nauye alitembelea uwanja huo wa Taifa na kuona uharibifu...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO OCTOBER 3, 2016 YAMEAMKA NA HIZI KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Naendelea kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika kila pande ya usikae mbali nami mtu wangu.

Read more
<< < 10 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974