Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MAAJABU YATOKEA MAMA AJIFUNGUA NYOKA KANISANI...

Hii ni kati ya habari zilizoshika headlines zetu leo, inasemekana alienda Kanisani kuombewa, baada ya ujauzito wake kupitiliza muda mala akaanza kujinyonga nyonga kama Nyoka kumbe tumboni alikuwemo Nyoka mala akajifungua Nyoka mbele ya waumini. Waumini...

Read more

KING KIBA AMTUPIA VIJEMBE DIAMOND, "DIAMOND MWOGA SANA"...

Kila kuicha nazikusanya zile habari zinazowahusu wasanii mbalimbali na sasa ni zamu ya hawa watani wa Jadi Diamond na Alikiba. Habari nilizonazo zinasema Alikiba amshangaa Diamond kumtuma Meneja wake kwenda kumzimia MIC Kenya, ahoji huo ni Usimba au ni...

Read more

MAKUBWA YAIBUKA KWA DIAMOND, AOMBA KWA MUNGU...

Kama kawaida yangu kuzulula nikitafuta habari za kukujuza wewe na leo nimekutana na hii ya huyu Staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz inayosema "Diamond amuomba Mungu apate mtoto wa kiume" huku nyingine zikisema Diamond amepoteza Imani kabisa na Tiffah,...

Read more

HABARI YA MJINI LEO,BINTI KIZIWI JACK PATRICK ATOKA JERA...

Binti huyu mrembo aliyekuwa akitumikia kifungo Gerezani sasa ameachiwa huru baada ya kesi iliyokuwa ikimkabili ya kuuza madawa ya Kulevya.

Read more

MASWALI SABA KUHUSU SCORPION, YALIYOLETA UTATA...

Kila kukicha mtu wangu nazidi kuzikusanya habari kutoka sehemu mbalimbali zenye matukio tofauti tofauti, leo ninayo hii habari inayomuhusu yule jamaa aliyetobolewa macho na scorpion, leo katika kuzurula kwangu nimekutana na habari hizi zinazosema Ndugu...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO OCTOBER 11, 2016 YAMEAMKA NA HIZI KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Naendelea kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika Ulimwengu wetu huu, usikae mbali nami mtu wangu kaa kalibu kwaajili ya kuyajua mengi kutoka STARZTZ.

Read more

NDOA YA RIYAMA YAVUNJIKA, KILA MMOJA ABEBA 50 ZAKE...

Mwigizaji kutoka katika Tasnia ya Bongo movie anashukiwa kuachana na mmewe wa ndoa huku mashabiki wake wakiishia kubaki midomo wazi, Inasemekana kwamba chanzo cha wao kuachana ni Mtoto. Riyama anena kwamba Mwanaume ametimkia kwao, huku watu wakisema Ndoa...

Read more

ZE MAJANAGAZI, RAY AVUNJA NDOA YA MTU...

Na hii ni kati ya habari nilizonazo zinazomuonesha Staa wa Bongo movie Ray kukutwa na skendo hii ya kuvunja ndoa ya mtu. Inasemekana amevunja ndoa ya mtu huku ikidaiwa chanzo ni kugombea penzi la Chuchu.

Read more

ROONEY KUIACHA MANCHESTER UNITED,WENZAKE MAJONZI...

Katika habari tulizonazo leo katika Studio zetu leo ni pamoja na hii ya Mchezaji kutoka katika timu ya manchester United Wyne Rooney, habari zikiwa zinasema "Ameshauliwa kuama Man U" habari hizi zimewafanya wachezaji wenzake na Kocha wa Man U kuishia...

Read more
<< < 10 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974