Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

DAH!! SASA KESI YA SCORPION YAPIGWA TIKITAKA, SCORPION AMGEUZIA KIBAO SAID (ALIYETOBOLEWA MACHO)...

Mtu wangu najua unapenda sana kufuatilia ni nini kinaedelea juu ya Kesi ya mtoboa na mtobolewa macho alimaarufu kama Scorpion, sasa Socrion aigeuzia kesi kwa Said inamaana sasa aliye tobolewa Macho abebeshwa kesi ya Wizi. Makonda afunguka na kusema "anaweza...

Read more

MAKUBWA YAIBUKA ZARI AMKIMBIA MAMA AKE DIAMOND, NI BAADA YA KUMWENDEA KIGOMA....

Kila siku nazidi kuzurura huku na kule nikizisaka habari kutoka katika pande zote za Dunia, na hii ni kutoka kwake mtu na mama mkwe wake. ni Staa mrembo sana alimaarufu kama mama Tiffah au Zari the Boss lady, katika habari nilizonazo hapa inasemekana...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO OCTOBER 22, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Naendelea kukusogezea zile habari muhimu kutoka kila pande za dunia, usikose kuwa nami kila siku mtu wangu kwani nazisaka habari kwaajili yetu sote mtu wangu.

Read more

MASOGANGE AACHWA, NI BAADA YA MSAMI RAMMY GALIS KUMKATAA LAIVU, NI SHEEDA...

Huyu ni Msani kutoka katika Tasnia ya bongo filamu chini Rammy Galis amesema kwa sasa hana kabisa mahusiano ya kimapenzi na mwanadada Agness Masogange na kwamba sasa ni marafiki wa kawaida na itabaki kuwa hivyo.

Read more

HARMONIZE AAMUA KWENDA KUJIRUSHA NA MPENZI WAKE KATIKA MAENEO FRAN HIVI....

Mtu wangu bila kupitwa najua wajua kuhusu mahusiano ya wawili hawa akiwa ni mmoja kutoka katika Lebo ya WCB Harmonize kutoka katika tasnia ya Bongo fleva na mpenzi wake Jackline Wollper kutoka katika Tasnia ya Bongo movie. Leo ni katika maeneo tulivu...

Read more

VIDEO: HILI NI GOLI LA MECHI YA SIMBA vs MBAO FC OCTOBER 20, 2016 SIMBA WAIBUKA NA USHINDI...

Ikiwa hii ni habari kutoka katika upande wa Michezo na hii ilikuwa ni mechi dhidi ya Simba na wapinzani wao Mbao FC. Mchezo huu uliisha Simba wakiwa na ushindi wa Bao 1-0 dhidi ya wapinzani wao

Read more

Timiza Ndoto zako sasa clik hapa http:Youthnize.com/?ref=266295 unaweza kufanya ndoto zako zikamilike leo...

Nikawaida yangu kukuletea mambo mazuri na hii ni ya kukwanjika mala moja usiiache clik hii hapa link na ufate maelekezo http:Youthnize.com/?ref=266295

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO OCTOBER 21, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS....

Mtu wangu naendelea kukusogezea zile habari muhimu kuttoka katika pande zote za Dunia na hii ikiwa ni kupitia Magazeti yetu ya Tanzania.

Read more

ALIYETOBOLEWA MACHO NA SCOPIONI AZIDI KUZUA KIZAZAA, WAANIKWA WANAWAKE MASTAA ALOTEMBEA NAO...

Lakini pia kama unavonijua mi sichoki kuzulula huku na kule nikizisaka habari na leo nimezidi kuzipata zinazomuhusu huyu Said alimaarufu kama alotobolewa macho na Scopion, leo nimekutana na Risti ya Wanawake alotembea nao akiwemo na huyu Staa Irene Uwoya...

Read more

VIDEO: MSAMI ATOA SABABU HIZI ZA KUMBWAGA IRENE UWOYA, NDO KWAMBA HAMAKI TENA AU...

Mtu wangu kama kawaida yangu kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika pande zote za Dunia, ikiwa wewe ni mfuatiliaji wa Mahusiano ya Mastaa wa Bongo nadhani hili litakuwa sio gezi masikioni mwako Penzi kati ya staa kutoka katika tasnia ya Bongo movie...

Read more
<< < 10 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974