Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO OCTOBER 10, 2016 KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Naendelea kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika pande zote za Dunia, endelea kuwa nami mtu wangu.

Read more

CHRIS BROWN, ALIKIBA NA VANESSA MDEE WAINOGESHA MOMBASA...

Najua mtu wangu kwamba yawezekana uliikosa hii ya Chriss Brown, Vanessa Mdee na Alikiba walivyolinogesha Mombasa Rocks Festival, sasa ndo hii hapa nimekusogezea picha zake.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO OCTOBER 9, 2016 KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Mtu wangu kalibu usome Magazeti ya Tanzania ujue nini kinaendelea katika Ulimwengu wetu huu.

Read more

VIDEO: NI VICTORIA KATULETEA VIDEO MPYA IITWAYO "MY MONEY"...

Staa victoria Kimani ameingia katika headlines zetu leo kwa kuja na hii nyimbo yake mpya inayoenda kwa jina la "My money" anatualika kuitazama hapa. Mtu wangu icheki alafu utupie Comment ili akipita ajue unamaoni gani juu ya Ngoma yake.

Read more

MREMBO LULU DIVA LEO YAVUJA MAZITO, YANAMHUSU...

Mtu wangu mi nikawaida yangu kukusogezea zile habari motomoto zinazojili katika ulimwengu huu, na hii ni ya huyu mrembo diva. Kwa habari nilizonazo leo inasemekana diva aingizwa kwenye kashfa ya kujiuza kwa Wazungu Hotelini. Ni sheeeeeda,,,,,,,,Usiondoke...

Read more

MAAFA MENGINE YAZUKA KAGERA, HOFU YAZIDI KUTANDA...

Katika habari nilizonazo hapa Studio ni pamoja na hizi habari kutoka Mkoani Kagera zinazosema, zimetolewa taarifa zinazosema Mama na watoto wanne wanasadikika kufa kufuatia kula chakula chenye sumu.

Read more

WALIMU WALIO MPIGA MWANAFUNZI MBEYA WAIBUA MAZITO...

Kama unakumbuka mtu wangu kwamba siku mbili zimepita toka tumepata taarifa za mwanafunzi kutoka Mbeya aliyepata kipigo kutoka kwa walimu wa field, sasa leo yameendelea kuibuka mazito juu ya swala hilo. Habari zikiw azinasema kwamba wakamatwa, Mkuu wa...

Read more

VIDEO:DJ KHALED AMETULETEA TRAILER YA NYIMBO YAKE MPYA "DO YOU MIND ME"...

Katika habari zilizoshika headlines zetu leo nipamoja na hii ya Dj Khaled a .k .a Snapchat King ambaye ametuletea kipande Cha Video yake mpya itakayotoka mda mchache ujao. Ngoma yake hiyo mpya inaenda kwa jina la "Do you mind Me" ambayo amewashirikisha...

Read more
<< < 10 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974