Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO OCTOBER 16, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Usikose kuenddelea kuwa nami kila siku kwaajili ya kuzijua habari mbali mbali kutoka hapa katika Studio zetu za STARZTZ.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO OCTOBER 15, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Usikose kuungana nami kila siku kwajili ya kuzopata habari motomoto kutoka katika pande za Dunia.

Read more

PICHA CHAFU ZA UTUPU ZA AMBER LULU ZAMFANYA ATIMULIWE, ZINATIISHA...

Katika habari nilizonazo leo hapa Studio ni pamoja na hii ya huyu mlembo Amber Lulu zinazosema "Amber Lulu atimuliwa kwasababu ya picha zake chafu kusambaa mitandaoni" huku ikiendelea kusema mapichapicha yake yamponza.

Read more

LULU MICHAEL MABWANA WATAMUUA, YASEMWA MENGI JUU YAKE, AMEWEKA MAPENZI KIPAUMBELE...

Katika habari nilizonazo ni pamoja na hii ya Lulu Michael, inayosema "Lulu ameshindwa kutambua kuwa mapenzi yana nafasi yake na kazi ina nafasi yake, kitendo cha kujitenga na kazi yake kwasababu ya uwezo kipesa wa Mume wake si sahihi maana akumbuke kwamba...

Read more

ZE MAJANGAZI, MHE MDEE NA BULAYA WABAMBWA LIVE, MENGI YAELEZWA JUU YAO....

Mtu wangu ni kawaida yangu kukusogezea kila linalojili katika Ulimwengu huu wa Kidigitali, na hii leo nimekuletea habari kutoka huukoooo mbele!! habari hii inasema "Mhe Mdee na Bulaya wabambwa live" huku habari zikisema kuwa walikuwa wamepakatana, ukalibu...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO OCTOBER 14, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Naendelea kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika pande zote za Dunia, usichoke kuwa nami mtu wangu kwaajili ya kuzijua habari.

Read more

RAIS MAGUFULI AOKOA BILION 6, KWA KUSITISHA WAKUU WAMIKOA WILAYA NA KWENDA KWENYE SHEREHE ZA....

Usichoke mtu wangu Ni habari niliyonayo hapa Studioni leo asubuhi inayosema "Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzinia aokoa zaidi ya bilion 6 iliyokuwa kama posho kwaajili ya wakuu wa mikoa na Wilaya waliokuwa wende kwenye sherehe za kuuzima Mwenge huko...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO OCTOBER 13, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Endelea kuwa nami kwaajili ya kuzipata habari kutoka pande zote za Dunia. Usichoke mtu wangu

Read more

AUDIO MPYA: LINAH AMEKUJA NA SINGLE MPYA HII HAPA "KOSA SINA"...

Huyu ni Malkia wa Nguvu Linah Sanga leo anatualika kuisikiliza Single yake Mpya inayoenda kwa jina la "Kosa sina" kalibu tuisikilize.

Read more

VIDEO MPYA: MATONYA AJA NA HII VIDEO MPYA - SUGUA BENCHI...

Hii ni Ngoma mpya kutoka kwa msanii wa bongo fleva Matonya akiwa anatualika kusikiliza Single yake hii mpya ya "Sugua benchi"

Read more
<< < 10 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974