Ni October 25, 2016 nikiwa na hii habari ya staa kutoka katika Tasnia ya bongo fleva Diamond Platnumz, leo nimekuletea habari hizi mbaya kidogo zinazohusu Nyumba yake kuteketea kwa moto hali iliyosababisha wapangaji kulala nje huku mama Diamond akisitisha...
Ni kawaida yangu kukuletea zile habari muhimu kutoka katika pande zote za Dunia, na hii ya leo ni kuhusu huyu mrembo Agness akiwa katika mwonekano safi. tupia comment hapo mtu wangu nijue unamaoni gani mtu wangu.
Ikiwa ni jumapili ya October 23 2016 ndio siku ambayo kocha wa Man United Jose Mourinho alirudi tena Stamford Bridge kwa mara nyingine kucheza dhidi ya timu yake ya zamani ya Chelsea akiwa kakaa upande wa timu za wageni, Mourinho safari hii alirudi Stamford...
Usiikose Mechi hii kali ukakosa uondo mtu wangu jitahidi sana, maana hapa kuna wale watu wangu wa Timu Man U na wale wa Timu Chersea usikose mtu wangu. Comment hapo nione we ni shabiki wa timu gani.
Nikama kawaida ya Mtangazaji Soudy Brown amepiga story na inayedaiwa kuwa ni mke wa msanii maarufu kwa jina la Mjomba. Stori kubwa ni kuhusu msanii aliyewahi kufanya poa kwenye music industry ya Bongo Flava, Abubakar Mzuri ambaye alikuwa zao la mashindano...
Mtu wangu wa Nguvu kama wewe ni shabiki wa Staa Tekno, kama unajua kwamba siku chache nilikusogezea Audio yake sasa leo nimekuletea hii hapa Video yake ya Hit song yake ya 'Diana'
Tekno drops the official video to his latest single "Diana". Tekno sure...