Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
19 Oct

BAADA YA SIKU 48, ZA NDOA SHAMSA AANZA MAPICHAPICHA YA KULIALIA AKIDAI ANABANWA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Ni mrembo huyu kutoka katika Tasnia ya bongo movie leo kaja na hii mpya, akiongea na studio zetu za STARZTZ Shamsa baada ya kuhojiwa amesema Ndoa Ngumu, kubanwa sana akaendelea kusema Siku hizi akichelewa kurudi ni Kesi kubwa na mwisho akida kuwa amempuuza Ney wa Mitego.

STARZTZ

BAADA YA SIKU 48, ZA NDOA SHAMSA AANZA MAPICHAPICHA YA KULIALIA AKIDAI ANABANWA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974