Top posts
-
MADAI YA KUMPA PENZI MKUU WA MKOA, ASEMWA MAZITO SOMA HAPA...
Leo katika habari zilizoshika headlines zetu leo ni pamoja na hii ya Mbunge Cathy Magige akifunguka mazito juu ya skendo ya madai ya kumpa penzi mkuu wa Mkoa huku ikisemakana kwamba kwamba skendo ilianzia Marekani.
-
HAYA NDIYO MASWALI 10 YA KUNASWA KWA SIRAHA NZITO DAR...
Katika pitapita zangu leo nimekutana na hii habari nzito inayohusu kukamatwa kwa siraha nzito Dar es Salaam, kati ya siraha zilizokamatwa ni pamoja na Kiroba cha risasi, bunduki, pingu, mabomu na pia vipo vifaa vya kijeshi.
-
VIDEO:SALUTE KING!! ALIKIBA AMFUNIKA DIAMOND KENYA...
Waswahili usema mafahari wawili hawakai zizi moja, na leo wakakutana tena huko Kenya, Ni Staa wa bongo fleva Diamond Platnumz na King Alikiba.Hii nikatika Fiesta iliyofanyika huko Kenya ikiwa ni kwa mala ya kwanza tangu Fiesta imeanza na kuwakutanisha...
-
MREMBO KIDOA AKIWA KATIKA MWONEKANO WAKE MPYA...
Mtu wangu wa nguvu mi naendelea kuzulula huku na kule nikiwa nakutana na na walembo wa Tz wakiwa katika mionekano ya tofauti kabisa na huyu ni mrembo Kidoa. Tupia comment mtu wangu..
-
HUU NI UKATIRI NA UNYAMA, MREMBO AZIKWA AKIWA HAI...
Hii imetokea kweli, Mrembo huyu alizikwa akiwa Hai, Taarifa hizi zimethibitishwa na Madaktari, inasemekana mkono wa huyo mrembo ulikuwa umetokeza juu ya udongo, nabaada ya kufukua Udongo mwili wakutwa ukiwa na matambara kinywani kitendo kilicho wapelekea...
-
AMISA MOBETO AMPA MASHARTI MAZITO LULU MICHAEL, IJUE HAPA...
Ni zile habari za kusisimua mtu wangu huku sote tukiwa tunasubilia kujua ni nini kaambiwa huyu staa wa bongo fleva Lulu Michael kutoka kwa mwenzie amisa mobeto.. jipatie nakala yako ya Gazeti la KIU sasa.
-
DIMOND AWEKA REKODI NYINGINE MPYA HUKO YOUTUBE...
Tumekuwa tukitazama lekodi mbalimbali kutoka kwa wasanii wa nje kutokana na kazi zao kimziki, lakini leo ni zamu ya Tanzania akiwa ni Staa Diamond Platnumz ameweka lekodi kupitia wimbo wake huu mpya wa Salome unaoonekanakuwa na maviews wengi kwa siku...
-
SHILOLE NA SNURA WAZUA GUMZO TIGOFIESTA...
Mastaa hawa kutoka katika tasnia ya bongo fleva Shilole a .k .a Shishi babyna mwenzake Snura mamaa Majanga wameonekana wote kuwa na Majanga baada ya hii taarifa niliyonayo hapa inayosema kwamba wao wamekuwa vipozeo vya wasanii wanaume katika kipindi hiki...
-
MTANZANIA AWEKWA REHANI KWA BIASHARA YA UNGA PAKISTAN...
"Biashara ya Unga ni Balaa" Hii ni baada ya Mtanzania mmoja kukamatwa na madawa ya Kulevya huko Pakistan, pata habari kamili kwa kujinunulia Gazeti lako la MTANZANIA sasa.
-
BOTI ILIYOPATA AJALI ZIWA NYASA YATAFUTWA.
Boti iliyofanya safari kutoka Mbamba Bay inahofiwa kupigwa dhoruba. Takriban watu 12 hawajulikani walipo hadi sasa, wakihofiwa kufa maji baada ya boti iliyokuwa ikifanya safari kutoka Mbamba Bay nchini Tanzania kwenda Nkhata Bay Malawi kuzama kwenye Ziwa...
-
RAIS MAGUFULI AWASILI CHATO KWA MALA YA KWANZA TANGU ACHAGULIWE KUWA RAIS. SOMA HABARI KAMILI HAPA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Geita Maja Jenerali Mstaafu Ezekiel Elias Kyunga mala baada ya kuwasili katika uwanja wa Chato Mkoani Geita. HABARI
-
USINIITE MSANII WA KIKE, WEWE NIITE MSANII. SOMA HABARI HII HAPA
Usiniite Msanii wa kike, wewe niite Msanii- Nimaneno ya Vannesa Mdee. VIJIMAMBO
-
NYIMBO MPYA 'MIMI NA WEWE' YA DEZERT EAGLE. JIONEE HAPA
Msanii wa Tanzania aishiye Nchini Ausralia, Dezert Eagle ameachia wimbo mpya unaoitwa "Mimi na wewe" Icheki hapa MICHEZO NA BURUDANI
-
AIRTEL FURSA YAFIKIA VIJANA WILAYANI NGARA. SOMA HABARI KAMILI HAPA
Afsa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (wa 3 kushoto) akimkabidhi Kanizio Annatory (Katikati) ambaye ni miongoni ma vijana waliowezeshwa na mpango wa Airtel Fursa "Tunakuwezesha" Mashine na vifaa vya kuoshea Magari pamoja na Sehemu ya kisasa...
-
IMEFIKIA LIST YA VIWANJA 9 VYA NDEGE DUNIANI. SOMA HABARI HIYO HAPA
Kwa wale watu wangu wanaopenda kusafiri kwa kutumia usafiri wa Anga, kama wewe ni mmoja kati yao basi huu uwanja wa Madeira Airport ni kati ya viwanja vya ndege 9 vinavyotisha Duniani.Ikiwa vingine ni kama Gibraltar, Barba cha Scotiand, Princess Juliana,...
-
IZZO BIZNESS APAGAWISHA WAKAZI WA MBEYA KWENYE TAMASHA LA PASAKA. ICHEKI VIDEO HAPA
Wadau wa Buludani katika jiji la Mkoa Mbeya Jumapili ya Pasaka waliweza kupata burudani ya kipekee kutoka kwa Emmanuel Simwinga maarufu 'Izzo Bizness' ambaye aliwakamata wadau hao kwa vibao vyake mbalimbali wakati wa tamasha la Pasaka jijini hapo. MICHEZO...
-
BREAKING NEWS: WABUNGE WATATU WAFIKISHWA MAHAKAMANI DAR ES SALAAM. NIMEKULETEA HABARI KAMILI HAPA
Kutoka katika Mahakama ya Mkazi Kisutu Dar es salaam ni kwamba Wabunge watatu wamefikishwa Mahakamani hapo mchana wa March 31 2016 ambao ni Victor Mwambalaswa wa Lupa, Kangi Lugola wa Mwibara na Sadiq Murad wa Mvomero. Wamekamatwa kwa Tuhuma za Kujihusisha...
-
KESI YA GWAJIMA KUENDELEA MEI 2.SOMA HABARI KAMILI HAPA
Kesi ya kushindwa kuhifadhi Silaha kwa usalama inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na wenzake watatu itaendelea kusikilizwa Mei 2,mwaka huu katika Mahakama ya Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam. 06-04-2016
-
INGIA HAPA UANALIE NYIMBO KALI MPYA YA WINNIE NWAGI KUTOKA UGANDA YENYE MANENO YA KISWAHILI. INGIA HAPA UJIONEE
Hapo Uganda kuna waimbaji wakali kama Aziz Azion ambao walifanikiwa kuvuka Boda vizuri na kuwafikia Watanzania wengi kwasababu walichanganya Kiswahili kidogo kwenye Nyimbo zao.Wnnie Nwagi ni msanii pia alokuja na ngoma yake mpya inayoenda kwa jina la...
-
RAIS SHEIN AONGOZA KUMBUKIZI YA SHEHE AMAAN KARUME. SOMA HABARI KAMILI HAPA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ameongoza mamia ya wananchikatika kisomo cha Ibada ya Hitma ya kumuombea Dua Rais wa kwanza wa Zanzibar ,Hayati Abeid Amaan Karume aliyetimiza miaka 44 tangu alipouawa April 7,...
-
BABU YAKE WASTARA AELEZA KILICHOSABABISHA NDOA YA WASTARA KUVUNJIKA.SOMA HABARI KAMILI HAPA
Babu yake Wastara amefunguka na kuiambia Times FM, aliweka bayana kuwa Mbunge huyo mwenye Cheo ndani ya umoja wa vijana CCM alifikia hatua ya kuwatongoza wafanyakazi wa ndani ili awe nao kimapenzi.Wastara hataki kuludiana na Sadifa, kutokana na vitendo...
-
MAGAZETI YAMETUANDIKIA HAYA LEO. SOMA HABARI HAPA
Katika Gazeti la MTANZANIA kuna habari inayosema "Rais Magufuli amtumbua Mniku, pia Yametimia". Ikiwa katika Gazeti la TANZANIA DAIMA linasema "Magufuli atishiwa kuuawa". Alikadharika katika Gazeti la JAMBO LEO limeandika "Kortini kwa kutishia kumlipua...
-
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AFUNGA MAFUNZO YA YA UONGOZI MDOGO WA POLISI VISIWANI LEO. SOMA HABARI KAMILI HAPA
Makamu wa pili wa Zanzibar Balozi Seif Alli Iddi akikagua Gwaride la wahitimu wa mafunzo ya uongozdogo wa Polisi katika ngazi ya Ukoplo, Sajenti na Stafu Sajenti hapo Chuo cha polisi Ziwani Mjini Zanzibar.
-
SIMBA YAPOKEA KIPIGO DHIDI YA TOTO AFRICANS.ANGALA VIDEO YA GOLI WALILOFINGWA SIMBA
Baada ya Simba kukaa kileleni kwa muda kwa kuwazidi michezo watani wao wa Jadi wa Dar es salaam Young Africans, April17, 2016 Simba wamekubali kulala kwa kufungwa goli 1-0 kutoka kwa Totot Africans.
-
FC BARCELONA WAMEKUBALI KICHAPO KUTOKA KWA VALENCIA. JIONEE HAPA
Bado mambo sio mazuri kwa FC Barcelona kwani jana April 17, wamekubali kipigo cha goli 2-1 kutoka kwa Valencia.