Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
23 Aug

HUU NI UKATIRI NA UNYAMA, MREMBO AZIKWA AKIWA HAI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Hii imetokea kweli, Mrembo huyu alizikwa akiwa Hai, Taarifa hizi zimethibitishwa na Madaktari, inasemekana mkono wa huyo mrembo ulikuwa umetokeza juu ya udongo, nabaada ya kufukua Udongo mwili wakutwa ukiwa na matambara kinywani kitendo kilicho wapelekea watu wengi waliokuwepo kumwaga Chozi.

STARZTZ

HUU NI UKATIRI NA UNYAMA, MREMBO AZIKWA AKIWA HAI...
HUU NI UKATIRI NA UNYAMA, MREMBO AZIKWA AKIWA HAI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974