Top posts
-
NA KATIKA MAGAZETI HII LEO YAMETUANDIKIA... SOMA HABARI HAPA
"Siri Kugombea Urais sasa yafichuka" Ni habari iliyoandikwa katika Gazeti la JAMBO LEO. Pia katika Gazeti la MAJIRA likiandika "Mwanajeshi JWTZ apigwa mawe". Haijaishia hapo katika Gazeti la MZARENDO limetuandikia "Mbunge aibuka na kuanika dili kwenye...
-
RAIS MAGUFULI AWASIHI WATANZANIA KUWA WAMOJA. SOMAHABARI KAMILI HAPA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewasihi watanza nia kuendelea kuwa wamoja na kushirikiana kuijega Nchi yao, badala ya kubaguana. Rais Magufuli ametoa wito huo jana Katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),...
-
BAADA YA TIMU YA CHAD KUJITOA AFCON 2017, CAF WANA HAYA YAKUSEMA. SOMA HABARI KAMILI HAPA
Jumatatu ya March 28 Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars ilikuwa inajiandaa kushuka dimbani kucheza Mchezo wake wa Nne wa kuwania kufuzu michuano ya Mataifa ya Mataifa ya Afrika 2017 dhidi ya Chad, Habari zilizotoka March 27 kutoka shirikisho la soka...
-
BABU TALE NA CHIDI BENZI WAANZA KAZI. PATA HABARI KAMILI HAPA
Babu Tale ni Meneja wa wa kundi la Tiptop Connection na pia ni Meneja wa Diamond Platnumz ambapo stori kubwa iliyomuweka kwenye headlines kuanzia march 21 2016 ni uwamuzi wake wa kumsaidia Rapper Chid Benz aliyekiri kutumia dawa za kulevya, uamuzi umepigiwa...
-
MAJAMBAZI YAJERUHI NA KUJERUHI JIJINI MWANZA. BOFYA HAPA KUPATA HABARI KAMILI
Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza SACP Justus Kamugisha akitoa taarifa kwa wana habari kwamba watu wawili mameuawa jijini Mwanza kwa kupigwa Risasi na Majambazi huku wewngine Saba wakijeruhiwa, katika tukio la uvamizi wa Duka lililokuwa likitoa huduma mbalimbali...
-
VANESA MDEE ATOA SABABU ZA YEYE KUVAA NGUO ZA NUSU UTUPU. NIMEKULETEA HABARI KAMILI HAPA
Msanii huyo wa Bongo freva, amefunguka live jana katika kipindi cha Friday Night kinachorushwa na East Afrika Radio akisema, sababu zinazomfanya yeye avae mavazi ya haina hiyo ambayo hayakubaliki kwa jamii ni kwasababu anatangaza brand yake na atimaye...
-
KINALA WA WIZI WA UMEME ATIWA MBALONI. HABARI KAMILI HAPA
Ofisa Usalama wa Tanesco Mkoa wa Mwanza, John Chilale amesema Mtuhumiwa huyo amekamatwa baada ya Tanesco kupokea taarifa kutoka kwa raia wema kuwa amewaunganishia umeme wakazi wengi wa maeneo ya Kitangiri, jijini hapo.Habari hii tunaipata katika Gazeti...
-
NA KATIKA MAGAZETI LEO YAMETUANDIKIA YAFUATAYO. PATA HABARI KAMILI HAPA
Ndege yanaswa KIA ikitorosha Tumbili 61 ni habari tunayoipata katika Gazeti la HABARI LEO. Lakini pia JK,Mkapa,Pinda wamtosa Shein ni habari tunayoipata katika Gazeti la TANZANIA DAIMA. Na katika Gazeti la MTANZANIA tumeandikiwa Zitto, Bashe nao watua...
-
AJALI NYINGINE KIMALA BARUTI.PATA HABARI KAMILI HAPA
Ikiwa zimepita wiki mbili baada ya kutokea kwa ajali Kimala Dar es salaam. usiku wa March 25 kumetokea ajaali nyingine katika eneo la Kimala Baruti ambapo Basi la Princes Muro lenye usajli wa T551 BQP. Limavaa kituo cha mabasi ya mwendo kasi. Basi hilo...
-
NAWAALIKA WAKRISTO TUSHILIKI KUTAFAKALI YOHANA MT. 20:1-23. SOMA TAFAKARI HIYO HAPA
"Hata siku ya kwanza ya Juma Mariamu Mangdalene alikwenda kaburini alfariji, kungali giza bado;akaliona lile jiwe limeondolewa kaburini,Basi akaenda mbio, akafika kwa Simoni Petro na kwa Yule mwanafunzi mwingine ambaye Yesu alimpenda, akawaambia Wamemwondoa...
-
NAWATAKIA WAKRISTO WOTE PASAKA NJEMA NA YENYE BARAKA NA AMANI TELE
Mwandishi wenu Chuyan'g Custarah napenda kuwakaribisha kusherekea kwa pamoja sikukuu hii ya Pasaka, kalibuni sana na Mungu awabariki. PASAKA
-
ZUBEIR MAULID ACHUKUA FOMU YA KUWANIA USPIKA ZANZIBAR. SOMA HABARI KAMILI HAPA
Katibu wa Baraza la wawakilishi Zanzibar, Dk. Yahya Khamis Hamad (Kushoto) akimkabidhi form ya kugombea Uspika, Mgombeawa nafasi hiyo kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zubeir Ali Maulid, ambapo uchaguzi wa Spika unatarajiwa kufanyika tarehe March 30, 2016,...
-
AMINI AJA NA NYIMBO MPYA KALI. IONE HAPA
Kwa harakaharakani zaidi ya miezi kumi na mbili imepita toka mala ya mwisho imetangazwa Video mpya ambayo Amini yupo ndani. Sasa baada ya kuaa mda mrefu kaamua kuja na ngoma yake hii inayoenda kwa jina la 'Hawajui'
-
BILIONEA MTANZANIA MWENYE UMRI MDOGO. SOMA HABARI KAMILI HAPA
Kituo cha Television cha Marekani CNN kilimuhoji Mtanzania huyu mwenye Umri mdogo na kikaweka kichwa cha habari "Kutana na Bilionea mwenye umri mdogo Afrika", ni Mohammed Dewji ambaye ameajiri watu kalibu elfu ishirini na nane kutokana na Viwanda na...
-
MZIMU WAMUANDAMA MBUNGE MURAD. INGIA HAPA UJISOMEE
Mzimu umeendelea kumuandama Mbunge wa Mvumero, Suleiman Saddiq Murad baada ya shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kuzifungia kwa muda usiojlikana tanuri za Mikate nne zilizopo katika Manispaa ya Morogoro, ikiwemo inayomilikiwa na Mbunge huyo kwa kushindwa...
-
MREMBO GIGY AFUNGUKA MENGI ASEMA HATAKI KUFANYA MAPENZI......
Video qeen ambaye haishwi vituko kila siku Gigy Money amefunguka kwa kusema yeye sio mtu wa kupenda kufanya mapenzi kama watu wanavyodhani.!
-
MSANII IRENE UWOYA AACHA UJUMBE MZITO ASEMA..
Mkali wa filamu Nchini, Irene Uwoya amewataka wasanii wenzake hasa wanawake kujituma katika kazi nyingine kama vile biashara ili kuweza kujikomboa kimaisha.
-
EPL
Full time
-
GARI LILILOZAMA BAHARINI KIVUKONI DAR ES SALAAM APRIL 20 2016.. HABARI KAMILI HAPA
April 20, 2016 gari aina ya Toyota Hiace lililokuwa ndani ya Pantoni kuelekea Kigamboni Dar es salaam liliserereka na kuzama baharini ambapo inasadikiwa lilikuwa na watu wawili, uokoaji ulifanyika ambapo asubuhi jeshi la Zimamoto na uokoaji lilifanikiwa...
-
MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTUANDIKIA LEO APRIL 22, 2016. SOMA HAPA
Tukianza na Gazeti la MTANZANIA lina habari inayosema "Lugumi balaa". Gazeti la UHURU lina habari inayosema "Mwekezaji ajenga".lakini pia katika Gazeti al TANZANIA DAIMA limeandika habari inayosema "Mapya ya Lugumi". Alikadharika katika Gazeti la MWANA...
-
UKAWA WASUSIA BUNGE, WAZIRI NAPE ANA HAYA YA KUTWAMBIA. BOFYA HAPA
Moja ya headline iliyochukua nafasi April 22, 2016 ni Pamoja na Wabunge wanaounda Umoja wa vyama vya Upinzani kutangaza kuwa havitashiriki kuchangia hoja Mikutano yote inayoendelea hadi baadhi ya vipengele kama urushwaji wa matangazo ya moja kwa moja...
-
ADELE NDIYE MWANAMUZIKI WA KIKE TAJIRI ZAIDI UINGEREZA...
Kulingana na Jarida la kimataifa la Sunday Times Rich list, (Orodha ya Marajiri) staa wa R&B Adele anaye tamba na ngoma zake kibao ikiwemo na ile ya Hellow ndiye mwanamuziki tajiri wa kike wa kwanza Nchini Uingereza kwa sasa kwa kuwa na Utajiri unaofikia...
-
D'BANJ SIKUMUONDOA TONTO DIKEH KWENYE LEBO YANGU. SOMA HABARI KAMILI
Tonto Dinkeh, 30, alitangaza kuondoka kwenye lebo hiyo baada ya kufunga ndoa na mumewe, Oladunni Churchil ambaye amezaa naye mtoto mmoja wa kiume aliyekuja Duniani Februari mwaka huu.
-
IGGY AZALEA ADUNDA MTAANI NA PETE ALIYOVALISHWA NA NICK TOUNG. SOMA HABARI KAMILI HAPA
Licha ya kusalitiwa, rapa wa kike, Iggy Azalea ameonekana akiwa na Pete ya uchumba aliyovishwa na Mpenzi wake, Nick Young ambaye ni staawa NBA, hii anamaa kuwa wapo poa na wanaendelea vyema kwenye penzi lao.
-
MR. BLUE AMSHUSHIA LAWAMA SUGU KISA WIMBO..
Msanii Mr. Blue amelalamikia kitendo cha msanii mwenzake ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi au Mr. Sugu kwa kuchukua Wimbo aliomshirikisha na kuufanya uwe wake bila ridhaa yake.