Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
07 Apr

BABU YAKE WASTARA AELEZA KILICHOSABABISHA NDOA YA WASTARA KUVUNJIKA.SOMA HABARI KAMILI HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Babu yake Wastara amefunguka na kuiambia Times FM, aliweka bayana kuwa Mbunge huyo mwenye Cheo ndani ya umoja wa vijana CCM alifikia hatua ya kuwatongoza wafanyakazi wa ndani ili awe nao kimapenzi.Wastara hataki kuludiana na Sadifa, kutokana na vitendo alivyokuwa akivifanya, imefikia hatua mpaka wale wafanyakazi wa ndani wananambia, Babu, baba huku anatutongoza.

STARZTZ

BABU YAKE WASTARA AELEZA KILICHOSABABISHA NDOA YA WASTARA KUVUNJIKA.SOMA HABARI KAMILI HAPA
BABU YAKE WASTARA AELEZA KILICHOSABABISHA NDOA YA WASTARA KUVUNJIKA.SOMA HABARI KAMILI HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974