Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

matukio

MAKAMU WA RAIS AFUNGA MAADHIMISHO MIAKA 50 YA SAYANSI CHUO KIKUU UDSM. SOMA HABARI KAMILI HAPA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo juu ya utengenezaji wa Sabuni na bidhaa za aina Mbalimbali alipotembelea maonesho ya maadhimisho ya sherehe hiyo.

Read more

VIDEO YA WABUNGE 7 WALIO TOLEWA NJE YA BUNGE KENYA.INGIA HAPA UICHEKI

March 31 miongoni mwa habari kubwa za siku Nchini Kenya ni Wabunge wa Upinzani kutolewa nje baada ya Kupiga Filimbi wakati Rais Uhuru Kenyata akihutubia Bunge la Nchi hyo ambapo KTN alisema filimbi hizo zilisababisha Hotuba ya Rais kuchelewa kusomwa kwa...

Read more

BREAKING NEWS: WABUNGE WATATU WAFIKISHWA MAHAKAMANI DAR ES SALAAM. NIMEKULETEA HABARI KAMILI HAPA

Kutoka katika Mahakama ya Mkazi Kisutu Dar es salaam ni kwamba Wabunge watatu wamefikishwa Mahakamani hapo mchana wa March 31 2016 ambao ni Victor Mwambalaswa wa Lupa, Kangi Lugola wa Mwibara na Sadiq Murad wa Mvomero. Wamekamatwa kwa Tuhuma za Kujihusisha...

Read more

ABIRIA APIGA SELFIE NA MTEKAJI WA NDEGE YA MISRI. SOMA HABARI NZIMA HAPA

Ben Innes (kulia) akipozi katika selfie na mtekaji wa Ndege ya Misri, Seif A-Din Mustafa.Picha za Ben Innes zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, asema alipiga selfie na mtekaji ili auone vizuri mkanda uliodhaniwa kuwa wa Mabomu pamoja nakuonyesha tabasamu...

Read more

AIRTEL FURSA YAFIKIA VIJANA WILAYANI NGARA. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Afsa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (wa 3 kushoto) akimkabidhi Kanizio Annatory (Katikati) ambaye ni miongoni ma vijana waliowezeshwa na mpango wa Airtel Fursa "Tunakuwezesha" Mashine na vifaa vya kuoshea Magari pamoja na Sehemu ya kisasa...

Read more

RAIS MAGUFULI AKIPIGA NGOMA BAADA YA KUWASILI CHATO. JIONEE MWENYEWE HAPA

Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akipiga Ngoma na kikundi cha Ngoma za asili cha Chato mala baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Mkutano Chato Mkoani Geita. MATUKIO

Read more
<< < 10 11 12 13 14 15 16 17 18

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974