Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

matukio

RAIS DK.MAGUFULI AFUNGUA DARAJA LA KIGAMBONI.INGIA HAPA KUONA HABARI NZIMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk John Pombe Magufuli jana tarehe 19 Aprili, amefungua rasmi Daraja la Kigamboni linalounganisha usafiri wa Barabara kati ya Kigamboni na Kurasini kwa jiji la Dar es salaam na amependekeza Daraja hilo liitwe Daraja la Nyerere...

Read more

MABASI YA MWENDO KASI YAFANYIWA MAJARIBIO.

April 18, 2016 Mabsi ya Abiria yaendayo haraka yalifanyiwa majaribio ikilipotiwa ni kujiandaa na kuanza Kazi rasami ya kubeba abiria na kushusha kwenye vituo mbalimbali vya barabara zake maalum zilizo kamilika.

Read more

TUNDA MAN APATA AJALI MBAYA. SOMA HAPA AKIELEZEA

Maelezo ya mwanzo ya Tunda Man amesema"Tulikuwa tunatoka Njombe baada ya kumaliza Show yetu na tukasema bora tusilale tuwahi kufika Dar, tumetoka Njombe saa 10 Alfajili mimi nikiwa nasikia usingizi nikamwambia mwanangu hebu tuendeshe kidogo, kufika kijiji...

Read more

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AFUNGA MAFUNZO YA YA UONGOZI MDOGO WA POLISI VISIWANI LEO. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Makamu wa pili wa Zanzibar Balozi Seif Alli Iddi akikagua Gwaride la wahitimu wa mafunzo ya uongozdogo wa Polisi katika ngazi ya Ukoplo, Sajenti na Stafu Sajenti hapo Chuo cha polisi Ziwani Mjini Zanzibar.

Read more

DK. MAGUFULI KUZINDUA MRADI WAKE LEO WA BARABARA ZA JUU. SOMA HABARI KAMILI HAPA

April 16 Rais John Pombe Magufuli amefanya uzinduzi wa mradi wa barabara ya juu (Flyover) Dar es salaam, barabara inayotarajiwa kuanza kufanya kazi mwaka 2018, lengo likiwa ni kupunguza kero za usafiri katika jiji la Dar es salaam , Barabara inayotengenezwa...

Read more

KUWENI MAKINI MNAPONUNUA MAGARI KWA MADALALI KARIAKOO. SOMA KILICHOTOKEA

Kumejitokeza watu wanatapeliwa na wizi wa Magari, Mtu anaenda kijiweni anakuta Gari na ananunua, Salali ni Mtu aliyepewa Kibari na Mahakama hawa wa vijiweni hawatambuliki.

Read more

RAIS WA SUDAN KUSINI AKIPOKEA MAUA MALA BAADA YA KUWASILI KWENYE VIWANJA VYA IKULU. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Rais wa Kusin Salva Kiir Mayardit akipokea Maua kutoka kwa Mtoto Sharon Innocencia Shiyo mala baada ya Kuwasili kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam na kulakiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuli ya Muungano Dk John Magufuli.

Read more

WAKAZI WA DAR KUONJA DARAJA LA KIGAMBONI LEO BURE. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Wakazi wa jiji la Dar es salaam na Vitongoji vyake leo wanapata fursa ya ya kulitumia kwa mala ya kwanza Daraja la Kigamboni linalotarajiwa kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli siku ya Jumanne ya wiki ij...

Read more

PICHA 8: RAIS WA SUDANI KUSINI AWASIRI DAR NA KUJIUNGA NA EAC. SOMA HABARI KAMILI HAPA

April 15 Rais wa Sudan Kusin Salva Kiir amewasili Nchini na kukutana na mwenyeji wake Rais John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Salva Kiir ametia sain Mkataba wa kujiunga rasmi na Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Read more

RAIS MAGUFULI KUWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA BARABARA YA JUU (FLYOVER) YA TAZARA NA KUFUNGUA DARAJA LA KIGAMBONI

Wizara ya ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kutaarifu Umma kuwaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli anatalajiwa kuwa Mgeni rasmi katika sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa barabara ya juu (Flyover)...

Read more
<< < 10 11 12 13 14 15 16 17 18 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974