Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
16 Apr

WAKAZI WA DAR KUONJA DARAJA LA KIGAMBONI LEO BURE. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Wakazi wa jiji la Dar es salaam na Vitongoji vyake leo wanapata fursa ya ya kulitumia kwa mala ya kwanza Daraja la Kigamboni linalotarajiwa kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli siku ya Jumanne ya wiki ijayo.

STARZTZ

WAKAZI WA DAR KUONJA DARAJA LA KIGAMBONI LEO BURE. SOMA HABARI KAMILI HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974