Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

matukio

SIMBA WAKAMATWA NA KUFUNGWA KWA KUWAUA WATU.

Maafisa wa misitu nchini India wamewakamata na kuwafungia simba 13 wa bara Asia, magharibi mwa India baada ya watu watatu kuuawa. Simba hao walizungukwa na kukamatwa baada ya kijana mmoja kutolewa katika kijiji chake, kuuawa na kuliwa kiasi. Watu wengine...

Read more

ANGALIA MAAJABU HAYA MWANAMKE MWENYE UMRI WA MIAKA 65 AJIFUNGUA MAPACHA WANNE...

Raunigk aliyechangiwa mayai na mbegu za kiume ana watoto wengine 13 kutoka kwa baba watano tofauti. Mwanamke mmoja kutoka Berlin Ujerumani ambaye ana watoto kumi na watatu ametagaza kuwa na ujauzito tena wa mapacha wanne.

Read more

WAZIRI KITWANGA ATUMBULIWA, HII NI BAADA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amepindua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani Waziri Kitwanga. Hii ni baada ya sababu inayosemekana kuwa Waziri huyo kuingia Bungeni akiwa amelewa.

Read more

BASI LA MWENDO KASI LAUWA MTU MMOJA...

May 19, 2016 katika maeneo ya Shekilango jijini Dar es salaam ilitokea ajali baada ya mwendesha bodaboda akiwa na abiria wawili kwenye pikipiki moja akijalibu kulipita gari la mwendo kasi na kujikuta amezidiwa uwezo na kujikuta akipata ajali na kusababisha...

Read more

NDEGE KUBWA ZAIDI DUNIANI YATUA AUSTRALIA.

Maelfu ya watu nchini Australia wanaopenda ndege walikusanyika kutizama ndege kubwa zaidi duniani ya Antonov An-225 Mriya, ilipowasili mjini Perth nchini humo. Ndege hiyo yenye urefu wa mita 84 na uzito wa tani 175 bila ya kubeba mzigo wala mafuta, ilikuwa...

Read more

VIDEO: HIVI NDIVYO MAMIA YA WAKAZI WA JIJI LA MBEYA WALIVYOJITOKEZA KUMZIKA MSANII KINYAMBE...

Mamia ya wakazi wa jiji la Mbeya wamemzika aliyekuwa Msanii wa Vichekesho James Petro Nsemwa (30) Maarufu kama Kinyambe ambaye alifariki Dunia Jumatano ya Wiki hii Mkoani Mbeya, katika Makaburi ya Hayombe Uyole Igawilo Mkoani Meya.

Read more

RAIS MAGUFULI JANA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA JANA UWANJA WA NDEGE NA KUKUTA MADUDU HAYA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli, ameagiza Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kwa kushirikiana na Vyombo vya Dola kuchukua hatua mala moja dhidi ya dosari zilizopo katika kitengo cha ukaguzi wa mizigo na abiria katika uwanja...

Read more

TAMKO LA WIZARA KULAANI MAUWAJI YA WATU 7 MWANZA...

Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na Watoto, limesikitishwa na tukio la mauwaji ya watu saba wa familia moja waliokatwakatwa mapanga baada ya kuvamiwa nyumbani, katika Kijiji cha Sima Wilayani Sengerema, Mkoani Mwanza siku ya Jumatano...

Read more
<< < 10 11 12 13 14 15 16 17 18 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974