Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
28 Apr

MO MUSIC APIGA CHINI UONGOZI WAKE KWA MADAI UMESHINDWA KUMTIMIZIA BAADHI YA VITU..

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Msanii wa muziki aliyewahi kutamba na wimbo 'Basi nenda' Mo music,amefunguka kwa kusema kuwa amechoka na kwa kusema uwongo na kuwadanganya mashabiki zake juu ya kazi zake na ukimya wake kwenye muziki.

STARZTZ

MO MUSIC APIGA CHINI UONGOZI WAKE KWA MADAI UMESHINDWA KUMTIMIZIA BAADHI YA VITU..
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974