Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
28 Apr

HII NDIYO SABABU INAYOKUFANYA USILALE KWA RAHA SEHEMU AMBAYO UJAIZOEA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Je ulishawahi kugundua kuwa ukilala katika kitanda au mazingira mapya haupati usingizi wa kutosha? sasa basi , utafiti ulibaini kuwa mtu akilala katika mazingira mapya ubongo wake haulali wote!!!! upande wa kushoto wa Ubongo huwa uko chonjo dhidi ya hatari yoyote ile haulali.

STARZTZ

HII NDIYO SABABU INAYOKUFANYA USILALE KWA RAHA SEHEMU AMBAYO UJAIZOEA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974