Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
29 Mar

NICKI MINAJI APATWA NA HASIRA BAADA YA KUONA MLINZI WAKE ANACHEZEA SIMU BADALA YA KUMLINDA. SOMA ZAIDI HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Hii ishu imetokea wakati Nicki Minaj akifanya show Dubai na kilichotokea ni kwamba nlinzi wake huyo hakuwa makini na kazi yake, wakati Nick yupo kwenye Stage anaimba akagundua kwamba upande wake wa kulia mmoja wa walinzi wake hafanyi kazi kama inavotakiwa maana kashika simu yake ya mkononi.Nicki alichofanya alikwenda na kuichukua ile simu na kuitupa nyuma ya Stage ambako watu wake wengine walikuwepo.

STARZTZ

NICKI MINAJI APATWA NA HASIRA BAADA YA KUONA MLINZI WAKE ANACHEZEA SIMU BADALA YA KUMLINDA. SOMA ZAIDI HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974