Top posts
-
RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 32 YA KIFO CHA SOKOINE. HABARI KAMILI HAPA
Akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu ya miaka 32 ya kifo cha aliyekuwa Waziri mkuu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine kabla ya Ibada maalumu ya kumbukumbu ya kifo hicho katika Kanisa la Mt. Joseph jijini Da es salaam.
-
JENGO NCHINI UGANDA LAUA WANNE BAADA YA KUANGUKA. SOMA HABARI KAMILI HAPA
Nchini Uganda watu wanne wamepoteza Maisha na wengine kujeruhiwa baada ya jengo kuanguka katika mji wa Kampala.Aidha imedhaniwa watu wengine kufukiwa na Kifusi na taratibu za uokoaji bado zinaendelea na chanzo cha jengo hilo kuanguka bado halijajulik...
-
HABARI ZA MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOANDKA LEO. NGIA HAPA USOME
Tunaanza na habari inayosema "Maswali 6, Utajili wa sh. Bilioni 8 wa Diamond" ni kati ya habari zilizoandikwa katika Gazeti la RISASI.Na katika Gazeti la CHAMPIONI limeandika "Kigogo amnunulia Kiiza GAri".Gazeti la JAMBO LEO limeandika "Kilichomponza...
-
ATLETICO MADRID KUIVUA UBINGWA BARCELONA. NIMEKUSOGEZEA POSTI HAPA KALIBU
Usiku wa April 13, 2016 ndo zilichezwa mechi mbili za mwisho za hatua ya robo fainali ya Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya, klabu ya FC Barcelona ilikuwa mgeni dhidi ya Atletico Madrid katika uwanja wa Vicente Calderon wakati FC Bayern Munich walikuwa...
-
MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOANDIKA LEO. JISOMEE HAPA
"Wema amwaga Idris" hii ni habari iliyoandikwa katika Gazeti la AMANI."Viporo havichachi Jangwani kuna frui" hii ni habari iloyoandikwa katika Gazeti la BINGWA. "Watumishi Tanesco kukatwa Mishahara" ni habari iliyoandikwa katika Gazeti la JAMBO LEO."Bajeti...
-
WAKAZI WA DAR KUONJA DARAJA LA KIGAMBONI LEO BURE. SOMA HABARI KAMILI HAPA
Wakazi wa jiji la Dar es salaam na Vitongoji vyake leo wanapata fursa ya ya kulitumia kwa mala ya kwanza Daraja la Kigamboni linalotarajiwa kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli siku ya Jumanne ya wiki ij...
-
VIDEO: KINACHOISUBILISHA SARAFU YA AFRIKA MASHARIKI. BOFYA HAPA
'Ili Nchi iwe na sarafu moja lazima kuwe na Uchumi mmoja kuna kigezo cha kwanza ambacho ni Deni la Taifa na kuna viwango vya Deni la Taifa ambalo Nchi zote zinatakiwa zisivuke ili tuwe na soko moja, viwango vya mfumuko wa bei usizidi 8%, lazima Nchi iwe...
-
ZARI AZUA KIZAZAA BAADA YA KUTINGA BONGO USIKU WA MANANE...
Zari the boss lady a .k .a mama Tiffah mke wa staa kutoka katika Tasnia ya bongo fleva Diamond Platnumz, leo ameonekana kwenye headlines zetu katika habari inayosema "Zari atinga Bongo usiku wa manane kukusanya kilicho chake", je mtu wangu wewe una maoni...
-
WWEMA SEPETU ALUDISHA PENZI LAKE KWA DIAMOND...
Ni habari ambayo nimeamka nayo leo inayosema Staa wa Bongo movie wema Sepetu na Diamond Platnumz wamo Ndani ya penzi zito tena, huku ikisemekana kwamba Wema aenda kujirusha naye Sauzi kila mmoja aliondoka Bongo kivyake.
-
ROONEY KUIACHA MANCHESTER UNITED,WENZAKE MAJONZI...
Katika habari tulizonazo leo katika Studio zetu leo ni pamoja na hii ya Mchezaji kutoka katika timu ya manchester United Wyne Rooney, habari zikiwa zinasema "Ameshauliwa kuama Man U" habari hizi zimewafanya wachezaji wenzake na Kocha wa Man U kuishia...
-
NDOA YA RIYAMA YAVUNJIKA, KILA MMOJA ABEBA 50 ZAKE...
Mwigizaji kutoka katika Tasnia ya Bongo movie anashukiwa kuachana na mmewe wa ndoa huku mashabiki wake wakiishia kubaki midomo wazi, Inasemekana kwamba chanzo cha wao kuachana ni Mtoto. Riyama anena kwamba Mwanaume ametimkia kwao, huku watu wakisema Ndoa...
-
KING KIBA AMTUPIA VIJEMBE DIAMOND, "DIAMOND MWOGA SANA"...
Kila kuicha nazikusanya zile habari zinazowahusu wasanii mbalimbali na sasa ni zamu ya hawa watani wa Jadi Diamond na Alikiba. Habari nilizonazo zinasema Alikiba amshangaa Diamond kumtuma Meneja wake kwenda kumzimia MIC Kenya, ahoji huo ni Usimba au ni...
-
AUDIO MPYA: LINAH AMEKUJA NA SINGLE MPYA HII HAPA "KOSA SINA"...
Huyu ni Malkia wa Nguvu Linah Sanga leo anatualika kuisikiliza Single yake Mpya inayoenda kwa jina la "Kosa sina" kalibu tuisikilize.
-
MANCHESTER UNITED WAKUBALI KULALA KWA KIPIGO CHA BAO 4-0 KUTOKA KWA CHERSEA....
Ikiwa ni jumapili ya October 23 2016 ndio siku ambayo kocha wa Man United Jose Mourinho alirudi tena Stamford Bridge kwa mara nyingine kucheza dhidi ya timu yake ya zamani ya Chelsea akiwa kakaa upande wa timu za wageni, Mourinho safari hii alirudi Stamford...
-
ZE MAJANGAAZI ZA MKUTA DIAMOND, DIAMOND AFUMWA MAKABULINI SIRI ZAVUJA...
Kama kawaida ya Studio zetu za STARZTZ kukuletea zile habari muhimu kutoka katika pande zote za Dunia na sasa hizi zimeshika masikio ya wengi, ni habari inayosema "Diamond afumwa Makabulini" kisa chaelezwa kwamba ni baada ya nyota yake kuanza kufifia...
-
MAHABA NIUWEEEE!!! ZARI AZUA GUMZO, NI BAADA YA KUUGUA GAFLA KISA DIAMOND KAKOSA TUZO...
Katika habari nilizonazo hapa studio ni pamoja na hii ya Staa Zari a .k .a the boss Lady leo kaja na hii kali, unaambiwa Augua gafla baada ya mumewe Diamond kukosa tuzo, Mimba yake nusu ichoropoke huku nyumba yao walionunua Sauzi ikiishia kuwaponza, hayo...
-
AMBER LULU AWAONYA WANAOMSEMA KWAMBA ANA MAISHA MAGUMU, AFUNGUKA MAZITO...
Katika habari nilizonazo leo nipamoja na hii habari kutoka kwa Amber Lulu zinazosema. Mrembo huyu leo amewakata midomo wale wote wanaomshuku wakisema yeye ana maisha magumu sasa leo kaja anasema yeye hana maisha magumu bali anapiga pesa ndefu.
-
UTABIRI MKUBWA! MSANII MKUBWA BONGO KUFA KIFO CHA KANUMBA, JE NI NANI?
Na hii ikiwa ni kati ya habari nilizonazo hapa Studio naendelea kuzisogeza kalibu ili ndugu yangu upate kuelewa. Sasa hii inamhusu Staa wa bongo fleva, likiwa ni swali ndugu yangu, tunabaki nalo mimi na wewe kuhusu huu Utabiri. Kutokana na hayo basi,...
-
HAYA NDIYO ALIYOYASEMA LINAH SANGA KUHUSIANA NA YEYE KUWA NA NAFASI KATIKA MZIKI WA BONGO...
Linah Sanga amedai kuwa nafasi yake bado ipo japo ameonekana kutofanya vizuri kwenye muziki kwa sasa. Miaka miwili iliyopita msanii huyo alionekana kuwa moto zaidi hasa baada ya kuachia wimbo wa ‘Ole Themba’ huku mashabiki wakitarajia mafanikio makubwa...
-
ZA MAJANAGAAZI!! MAPYA YAIBUKA, IMEFICHUKA DIAMOND ASHIKWA UCHAWI, MENGI YAIBUKA....
Ni habari zilizoshika headlines zetu katika siku ya leo, hapa Studio, Mtu wangu huyu ni staa kutoka katika Tasnia ya Bongo fleva, mmiliki wa WCB Diamond Platnum, hizi habari zinasema Dimond ashikwa na Uchawi, Ianasemekana yanaswa namna anavyoiba Nyota...
-
AMISA MOBETO, SINA URAFIKI KABISA NA ZARI, AFUNGUKA SABABU ZA KWANINI ATOE KAURI HIYO...
Amisa Mobeto ameifungukia STARZTZ akisema haya "Mimi nilimjua Zari baada ya kuzaa na Diamond Platnumz, kwahiyo huwezi kusema kuwa mimi na Zari tuko sawa" Mobeto.
-
VITA MPYA YA MAPENZI YAIBUKA, LULU DIVA AGOMBEA PENZI LA ALIKIBA....
Ni kawaida yangu ndugu msomaji, leo katika habari nilizonazo katika Studio yangu ni pamoja na hii ya mastaa hawa kutoka katika tasnia ya bongo fleva Lulu Diva na Alikiba wakionekana kuwaacha watu midomo wazi kwasababu ya utata uwa kimapenzi uliopo!!
-
SHILOLE AZIMIA KISA NDOA YA NUH MZIWANDA, MASHABIKI WANENA MAKUU, "NI UTOTO"...
Ni kati ya habari nilizonazo leo studio, zikiwa zinaongelea zaidi kuhusu ndoa ya Nuh Mziwanda. Mtu wangu wa nguvu kama unavojua yakwamba Nuh Mziwanda na Shilole ni watu waliokuwa katika penzi zito lakini baadae mambo yakaja kubadilika. Sasa leo habari...
-
ALICHOKISEMA WAZIRI WA VIWANDA MHE CHARLES MWIJAGE, KUHUSU AJIRA KWA VIJANA KUPITIA VIWANDA...
Leo Noveber 15, 2016 katika kipindi cha Power Breakfast, ameyazungumza mengi kuhusiana na Ongezeko la viwanda na kupelekea vijana kupata Ajira. Mhe Mwijage amesema kwasasa viwanda vimeongezeka sana na akitolea mfano wa Mashine za kuzalisha Tofari aina...
-
HUU NDIO MWONEKANO WA SASA WA QUEENDARLEEN, NI SHEEDA....
Kama kawaida yangu mtu wangu nakusogezea zile habari kutoka sehemu mbali mbali zikiwemo za wasanii Michezo, Udaku, nakadgarika.