Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
10 Oct

NDOA YA RIYAMA YAVUNJIKA, KILA MMOJA ABEBA 50 ZAKE...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Mwigizaji kutoka katika Tasnia ya Bongo movie anashukiwa kuachana na mmewe wa ndoa huku mashabiki wake wakiishia kubaki midomo wazi, Inasemekana kwamba chanzo cha wao kuachana ni Mtoto. Riyama anena kwamba Mwanaume ametimkia kwao, huku watu wakisema Ndoa yao haina ata miezi saba imeota magugu tayari.

STARZTZ

NDOA YA RIYAMA YAVUNJIKA, KILA MMOJA ABEBA 50 ZAKE...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974