SHILOLE AZIMIA KISA NDOA YA NUH MZIWANDA, MASHABIKI WANENA MAKUU, "NI UTOTO"...
Ni kati ya habari nilizonazo leo studio, zikiwa zinaongelea zaidi kuhusu ndoa ya Nuh Mziwanda. Mtu wangu wa nguvu kama unavojua yakwamba Nuh Mziwanda na Shilole ni watu waliokuwa katika penzi zito lakini baadae mambo yakaja kubadilika. Sasa leo habari inasema kwamba Shilole alijikuta akitoa Machozi baada ya kumuona Nuh akioa mwanamke mwingine.